Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha za ajabu kivipi? Na zipi?Bila kusahahu kupiga picha za ajabu ajabu na kuziruhusu zirushwe mtandaoni…
Na hapo ndio ana take advantage kuwateka wapumbavuHata Magu alipokuwa hoi kitandani, Lissu ndie alitupa taarifa, hivyo hata hapa panaweza kuwa na ukweli
Asante nitafuatila,Kama mfuatiliaji wa historia ya Mashariki ya mbali korea ,china, japan .... Han Clan ilitawala sana maeneo hayo ... Lilitokea vugu vugu maeneo ya wakazi kusini mashariki ya south Korea taifa moja la Gaya likazaliwa na ndio lilokuja kuungana na kuishusha Baekje na sehemu ya Goryeo(Goguryeo) na kuunda taifa jipya lililo kuwa na nguvu la Shilla ... Hapa naunganisha tu Han - Gaya .. Na huyu chief Hangaya ataleta shida... (Kwa muda wako soma hiyo historia ya hizo dynaties Han, Gaya, Shilla, Goryeo, na Goguryeo). Ndio North na Msouth Korea wa leo .
Itakuwa jambo zuri sana. Tunausubiri wakati huo kwa hamu..Soon mtamuona akirejea nyumbani baada ya mambo kumshinda huko aliko.
Kwa mjibu wa uzi wako umedai anayeongoza nchi kwa sasa ni CDF. Haoni uchumi wa nchi unavyoingizwa shimoni kwa tozo na mikopo isiyo na tija kwa Taifa letu?LISSU anatakiwa mambo mengine akae Kimya yanamshushia credibility, nchi inajulikana anayeongoza ni nani hata Majaliwa hana ubavu huo! Na take over ilifanyika tokea mwezi March 13 ,2021 … LISSU ajichunge sana na Rwehumbiza atamuingiza Chaka kwa baadhi ya Taarifa
Hujui kitu chochote wewe. Hizi info ziko mitaani na hata mimi nimesikia kutoka kwa mtu credible sana. Wewe saizi yako ni hii thread za vijembe vya Chadema vs CCM. Habari nyeti kama hizi nina uhakika huwezi kuzijua.LISSU anatakiwa mambo mengine akae Kimya yanamshushia credibility, nchi inajulikana anayeongoza ni nani hata Majaliwa hana ubavu huo! Na take over ilifanyika tokea mwezi March 13 ,2021 … LISSU ajichunge sana na Rwehumbiza atamuingiza Chaka kwa baadhi ya Taarifa
Very interesting. Nimeipenda hii...Kama mfuatiliaji wa historia ya Mashariki ya mbali korea ,china, japan .... Han Clan ilitawala sana maeneo hayo ... Lilitokea vugu vugu maeneo ya wakazi kusini mashariki ya south Korea taifa moja la Gaya likazaliwa na ndio lilokuja kuungana na kuishusha Baekje na sehemu ya Goryeo(Goguryeo) na kuunda taifa jipya lililo kuwa na nguvu la Shilla ... Hapa naunganisha tu Han - Gaya .. Na huyu chief Hangaya ataleta shida... (Kwa muda wako soma hiyo historia ya hizo dynaties Han, Gaya, Shilla, Goryeo, na Goguryeo). Ndio North na Msouth Korea wa leo .
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Subiri ushahidi kwenye mitandao. Utakuja!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni upuuzi kuamini habari hii kisa tu tundu islu aemsema.
Bali kudai uthibitisho kwa tundu lissu juu ya alichosema ndio kuwa na akili kwenyewe.
Mtu anaweza kukuona unaenda guest kila siku akakuzushia kwqmba una malaya wako unagonga hapo na mtu ukaamini kutokana na mazingira yanavyoshabihiana lakini ushahidi hana.
Mtu anaweza kukuona unajuana na shoga fulani akakuzushia kwamba unapiga yule shoga na mtu akaamini kwamba ni kweli kutokana na mazingira yanavyoshabihiana,ushahihi ni kudai ushahidi wa madai.
Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.
Watanzania tunatakiwa tuache utumwa wa fikra usiamini moinzani wala mtawala mpaka uhoji kwa kina upewe ushahidi wa maneno yake
Ohooo. Kumbe msimamo wako ni huu. Basi niombe samahani kwa post ya nyuma niliyokushambulia. Nilidhani unasema kuwa mama ''amewekwa benchi'' ni uzushi. Kumbe wewe unatofautiana kuhusu watu waliyo nyuma ya sakata. Nakubalina na wewe na samahani kwa mara nyingine.Natudia niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana
Britanicca
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡Itakuwa jambo zuri sana. Tunausubiri wakati huo kwa hamu..
Lakini haitakuwa kwa sababu "mambo yamemshinda huko" bali itakuwa kwa sababu "wasiojulikana, watakuwa wamejulikana" na mmoja mmoja kulipa gharama ya uovu wake...
Mmoja ameshapata adhabu ya natural death....kafa. Ni mpanga mwovu mkuu, Mwendazake JPM, shina na mzizi. Haya yaliyobaki ni matawi tu. Yatakauka soon...!
Hata aliposema magufuli kashaded mlimzihaki lakn mwisho mlifichua.Ni upuuzi kuamini habari hii kisa tu tundu islu aemsema.
Bali kudai uthibitisho kwa tundu lissu juu ya alichosema ndio kuwa na akili kwenyewe.
Mtu anaweza kukuona unaenda guest kila siku akakuzushia kwqmba una malaya wako unagonga hapo na mtu ukaamini kutokana na mazingira yanavyoshabihiana lakini ushahidi hana.
Mtu anaweza kukuona unajuana na shoga fulani akakuzushia kwamba unapiga yule shoga na mtu akaamini kwamba ni kweli kutokana na mazingira yanavyoshabihiana,ushahihi ni kudai ushahidi wa madai.
Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.
Watanzania tunatakiwa tuache utumwa wa fikra usiamini moinzani wala mtawala mpaka uhoji kwa kina upewe ushahidi wa maneno yake
..Maza ikifika 2025 anasepa na kurudi kwao Makunduchi.
..SSH hakuwahi kutamani kuwa Rais, na mafao ya Raisi mstaafu yanamtosha kutimiza ndoto na malengo yake.