Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu...
Kwamba, taarifa walizonazo kwa sasa ni kuwa "
....Madam President Samia Suluhu Hassan is held hostage..." , kwamba si yeye anayeongoza nchi kwa sasa. Ameshauriwa yeye akae pembeni na swala la usalama wa nchi awaachie PM Majaliwa na waziri wa usalama, Mchengelewa washughulike nalo...
View attachment 1932324
MAONI YANGU:
Kama hii ni kweli, kikatiba imekaaje? Kama Rais huyu mama kakubali ushauri huu, atakuwa anajua kweli jukumu na wajibu wake kama Rais wa nchi...? Kwanini washauri wake wakuu wamefanya hivi..?
Kuna possibility kubwa hili linaweza kuwa la kweli kwa kuangalia viashiria fulani fulani...
Hebu chunguzeni ziara na matukio anayoshiriki Rais Samia Suluhu kwa takribani miezi miwili iliyopita, ni utoto utoto tu huku maswala serious burning issues haki ngumu ya uchumi, tozo kandamizi, haki tete na mbaya ya kisiasa na mengine mengi yanayohusu nchi na wananchi yakielea elea hewani bila mwongozo thabiti toka kwa Rais kiongozi makini wa nchi...
Angalia matukio anayoshiriki Rais; mfano Royal Tour, kushiriki tamasha la ngoma za kienyeji Magu Mwanza nk nk ni ya kupumbaza tu kwa lengo fulani baya nyuma ya pazia..
Naweza kuamini hili la Tundu Lissu kwa 99%...