Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Hakuna majeraha yoyote popote pale.

Watanzania tunaendelea na maisha yetu. Tulishamaliza uchaguzi na sasa hivi tunajenga nchi yetu. Bunge linaendelea, mashule na vyuo vinaendelea, michezo kama kawaida. Shughuli zetu za kijamii kama kawaida na everything is as normal na nyinyi mmekazania majeraha majeraha.

Nyinyi endeleeni na ndoto zenu Sisi tunaendelea kuishi maisha yetu.
 
Leo wabunge walimshangilia sana Kassimu Majaliwa bungeni tunaodadisi kila kitu hali ile haikuwa ya kawaida.

Shift of loyalty
Hahahahahahahaahhahaah

Wabunge wa CCM kumshangilia CCM mwenzao kwenu ni matumaini kwamba soon CCM itasambaratika???

You are better than this my friend. Hahahaahah

Aiseee nyie jamaa ni bure kabisa. Haya mkuu kila la kheri!
 
Kama kuna uwezekano wa kuamini kwamba mama katekwa na genge fulani, sababu mojawapo ya kufanya watu waamini hivyo inahusiana na hili swala la Mbowe.

Hii kesi ilikuwa tayari imeandaliwa na Magufuli kwa maksudi la lengo lake la kuiua CHADEMA, ambayo ilikuwa tayari imeshindikana kuiua kwa njia zote alizokuwa amezitumia katika awamu yake ya kwanza.

Haiingii akilini kabisa Samia alirukie jambo hilo hilo haraka hivyo, tena baada ya kuonyesha dalili za kutaka kufanya mambo tofauti na ya yule mtangulizi wake.

Kuna sababu za kuamini kwamba hapa ndipo palipoanzia kiini cha kutekwa kwake.

Angelikomalia hili na kukataa kukubaliana na genge, hiyo ndiyo ingekuwa salama yake, tena angejijengea heshima kubwa sana na genge lingenywea moja kwa moja. Kukubali kwake kutumiwa juu ya jambo hili, ndio umetoa udhaifu wake nje nje, na kujiondolea heshima.

Sasa ni mateka, sijui atapata bahati gani tena ya kujinasua na kuanza kuendesha nchi kama kiongozi tena!
 
Huyo mlinzi yupo?
 
Kama mnakubaliana na kauli ya Nyerere kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM basi wale wa ufipa wakatafute sehemu wakalelewe. Wachague either Belgium or Canada.

Mkae mkijua kama upinzani wa kweli utatoka CCM basi ni in the next 100 years to come sio Leo.

Maana Leo Chama kimeimarika zaidi na zaidi.
 
Naye Lissu ni mateka wa nani huko Ubelgiji?
 
Kutekwa hapa iliyotulia unaweza kusema ni kama ile ya Kabila Jnr kuwekwa madarakani na watu waliokuwa na vested interest , ambao ukweli wao ndio wanao call the shot.
Au in context ya Bongo iwe yeye ni kiongozi, lakini wana toa maamuzi ambao hawaonekani ktk mfumo ndio wanaongoza nchi, hapa useme ni Tiss, Jeshi, au Kikundi cha watu now ya mfumo nk.
Lakini kwa mfano wewe ulilotumia au unaotaka kuwa onyesha watu ni Huyo Son in Law ambaye kaweka yeye mwenyewe , na waziri mkuu ndio msaidizi wake na wote hao wapo ktk mfumo wa kawaida wa utendaji wa kila siku wa serikali yake.
 
Mimi kinachonishangaza zaidi ni hawa misukule yake anayoiburuza kwa taarifa za ajabu ajabu namna hii na yenyewe inakwenda tu.

Najiuliza hawa watu wanakula mavi?? Mbona akili zao ni mbovu namna hii???
 
Tundu Lissu alishawahi kusema kuwa "mmoja wa Walinzi wa karibu wa hayati Magufuli ,yule mweusi na mwili mkubwa kuwa amefariki kwa COVID".....

Kumbe ilikuwa ni CHAI CHAI CHAI tupu.......

Tundu aache kuwa "PATHOLOGICAL LIER".....
Wanaomuamini huyu jamaa aiseeeee. Inabidi wafanyiwe utafiti wa akili zao
 
Mheshimiwa rais Mama Samia Suluhu Hassan alivyoanza tulimnasihi kwamba yaliyopita si ndwele. Everybody deserves the 2nd chance. Hebu tuwape wapinzani nafasi na kwa pamoja tujenge nao nchi yetu. Kwa kuwa Mama yetu ni mtu wa Mungu sana akakubali na kazi ikaanza.

Baada ya kuona Mama anaendesha nchi kwa staha, upendo, upole na kumshirikisha kila Mtanzania wale wajinga wajinga wakaanza kujifanya makambale watoto. Tukatumia njia hizi za mawasiliano kuwakumbusha na kuwanasihi lakini hawakusikia.

Mama nkatoka front na kuanza ku-draw some lines na ndani ya siku zake 100 alitoa angalizo kwamba "ukinizingua nakuzingua"

Wakakaa wale wavuta bangi wakaanza kusema watamnyoa Mama, wengine wakasema watamlazimisha maana sijui katiba mpya ni lazima. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Kilichofuata ni vilio kila kona 😄😄😄😄😄😄😄

Sasa nyinyi endeleeni na propaganda lakini nawaambia mkija mkishtuka ni July 2025, vilio vinaendelea.
 
🤣🤣👍
 
Kipaumbele ni ccm kushinda uchaguzi tu, uchumi na hali za wananchi watajijua wenyewe!
 
A presd with less than 6 months can't get such a free time to get into a TV show especially for a country like Tz otherwise sha s gatting a dedicated bckup.
She has been insisting all along the way that she is gonna deal with economy. Tourism sector is one of the major contributor of our economic growth and she is right on putting it on top of her list.

Nyinyi endeleeni kukosoa tu
 
Ndio mnavyoligawa taifa hamuangalii mioyo ya mliowaumiza siku majitu yenu yakifa Kama magufuli msitulazimishe tulie wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…