Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

Umesikiliza narration yote toka mwanzo hadi mwisho? Watu tuko persecuted halafu unataka tukae kimya? Uko serious kweli?

Mimi nawashukuru mno watu wazalendo walio ndani ya mifumo nyeti ya serikali kutoa taarifa hizi na kuwapa midomo ya kusema iseme..

Mnafikiri kila mtu huko serikalini anafurahia mambo yalivyo na yqnavyokwenda? HELL NO...!!
 
Akiongea katika kipindi cha Maria Sarungi Space Jana akijibu maswali mbalimbali ya washiriki wa mjadala huo, Tundu Lissu ametoa taarifa serious kidogo kuhusu Rais na nchi yetu....
Ni upuuzi kuamini habari hii kisa tu tundu islu aemsema.

Bali kudai uthibitisho kwa tundu lissu juu ya alichosema ndio kuwa na akili kwenyewe.

Mtu anaweza kukuona unaenda guest kila siku akakuzushia kwqmba una malaya wako unagonga hapo na mtu ukaamini kutokana na mazingira yanavyoshabihiana lakini ushahidi hana.

Mtu anaweza kukuona unajuana na shoga fulani akakuzushia kwamba unapiga yule shoga na mtu akaamini kwamba ni kweli kutokana na mazingira yanavyoshabihiana,ushahihi ni kudai ushahidi wa madai.

Suala hili Tundu lissu anatakiwa atoe ushahidi badala ya kutumia mazingira ambayo yanaonekana kama kushabihiana na maneno yake.

Watanzania tunatakiwa tuache utumwa wa fikra usiamini moinzani wala mtawala mpaka uhoji kwa kina upewe ushahidi wa maneno yake
 
Narudia tena , niliisema sehemu Anayeongoza nchi ni Mabeyo na Vyombo vya Usalama Mama akiwa kama kivuli ila Majaliwa na mchengelwa hawana wanalojua hapo LISSU naye kachemka!!! Nchi iko kwa Mabeyo kitambo sana

Britanicca
 
Wazee wa propaganda na ku spin katika ubora wao.
Mahesabu yao tangu walipopoteza credibility ya kuaminiwa na wengi 2015 waligeukia kwenye propaganda za “social media”. Hazikuwasaidia kitu Kwani 2020 walitupwa kule, tundu akabaki katoa jicho tu. Hakuna cha support ya wananchi ikabidi waanze kufoji picha nyingine za kampeni ya Lowasa ya 2015 kuonyesha ana watu wengi.
 
WanaCCM wenzangu,
Hoja aina hii siyo za kukurupukia maana mtu kama Lissu lazima atakuwa na mvujisha taarifa kutoka pakachani.

Naona watu wanajibu kwa kebehi
Kuna jambo halipo sawa and yet we joke about it.

I can sense indoor plumbing
 
Kama kawaida yake lissu ni muongo na mropokaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…