Sasa unashangaa nini kuwa na ofisi Masaki?Masaki one iyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unashangaa nini kuwa na ofisi Masaki?Masaki one iyo
Wadanganye makapuku wa akiliWatu wakiwa kwenye ofisi zao unafikiri pale kwenye mtaa wa Ufipa?
kama ukweli ni chumvi basi sawaKichwa cha Habari kama umetia chumvi nyingi.
Vipi Malalamiko FC!Wadanganye makapuku wa akili
Sasa baaaaasiii !! usiichukulie poa hii kauliVipi Malalamiko FC!
Kanda ya ziwa ngome yenu mmepigwa vibaya kusini mnasubiriwa mtajuta kuzulimu korosho za watuHapo patamu akajionee aibu yake kule. Nimetokea huko. Ajiandae aibu ya mwaka. Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Mpaka saa 7.00 mkuu wakishachakachua, ukiona hivi ujue huko wako wanahutubia mitiHadi sasa hivi hakuna picha wala video clip?? Mbona jana za mbeya ilikuwa fasta sana picha zimejaa?
CUF ni mgonjwa kwa tamaa za le profu kusaliti mabadiliko kwa kuonyeshwa karanga yeye na mbatia wanatia huruma.Kwani kusema ukweli kuna gharama gani?
Hakuna kitu kinaitwa CUF kusini kwa sasa, bora hata ungesema act-wazalendo.
msije mkamuacha peke yake kama mlivyomfanyia mange kimambi.Lowassa hakushindwa , angalia sarakasi hizi , lowassa alijua lakini akamuachia Mungu , lissu hatofanya ujinga huoView attachment 1560636
Za Magufuli mbona zimejaa TBC au hata wewe hujui kisukuma ?Hadi sasa hivi hakuna picha wala video clip?? Mbona jana za mbeya ilikuwa fasta sana picha zimejaa?
Mbona hakuna video tutaonaje sasa?Sasa baaaaasiii !! usiichukulie poa hii kauli
Mbatia asubiri "viti maalumu"CUF ni mgonjwa kwa tamaa za le profu kusaliti mabadiliko kwa kuonyeshwa karanga yeye na mbatia wanatia huruma.
Mbatia asubiri "viti maalumu"CUF ni mgonjwa kwa tamaa za le profu kusaliti mabadiliko kwa kuonyeshwa karanga yeye na mbatia wanatia huruma.
Si Hadi apite bwana yule,but wanachomfanyia watz hakutegemea upepo wa mabadilikoMbatia asubiri "viti maalumu"
Kuna uwezekano mkubwa Lissu akamng'oa jiwe ofisini mwaka huu, kama naziona dalili.Si Hadi apite bwana yule,but wanachomfanyia watz hakutegemea upepo wa mabadiliko