Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Uchaguzi 2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

Hapo patamu akajionee aibu yake kule. Nimetokea huko. Ajiandae aibu ya mwaka. Huko CUF na CCM ndio vijogoo. HUKO CHADEMA HAMNA CHENU
Kanda ya ziwa ngome yenu mmepigwa vibaya kusini mnasubiriwa mtajuta kuzulimu korosho za watu
 
Kwani kusema ukweli kuna gharama gani?
Hakuna kitu kinaitwa CUF kusini kwa sasa, bora hata ungesema act-wazalendo.
CUF ni mgonjwa kwa tamaa za le profu kusaliti mabadiliko kwa kuonyeshwa karanga yeye na mbatia wanatia huruma.
 
Back
Top Bottom