Pre GE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unatoa tuhuma za kutuhuma chama chako na ushahidi huna hivi una akili kweli wewe hii ishu ya kunyimwa gari inakuumiza sana.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Katika hili nimeanza kumuelewa Lissu amenyooka sana na katika hili atakuwa na maadui wengi ndani ya chama chake kuliko nje ya chama!

Mimi sio shabiki wa Lissu lakini kamwe awezi kuchukua rushwa!
 
Katika hili nimeanza kumuelewa Lissu amenyooka sana na katika hili atakuwa na maadui wengi ndani ya chama chake kuliko nje ya chama!

Mimi sio shabiki wa Lissu lakini kamwe awezi kuchukua rushwa!
Kwa hiyo gari aliyoomba sio kutaka rushwa?
 
Mimi nilitegemea kama Polisi wangemkamata Lissu kwa kuwatuhumu Abdul na Mama yake kutoa rushwa bila ushahidi!
Nadhani Polisi wakifikiria Mama na Abdul ni akina nani wanakwama!
Maana akina Abdul ni wengi mno!
 
Hizi mambo muulize Mbowe anajua vizuri, na moja ya kesi yake ilimfunga ni hizo
hujui kitu wewe ni chawa pro.... mbowe ndo aliyempiga risasi akwilini? au Anzory Gwanda? hukumbuki maneno ya prof wa jalalani akiwa nje ya nchi hii nyakati zilw za chizi
 
Kumekucha 🐼πŸ”₯

Yawezekana Chadema tatizo ni Kubwa kuliko tunavyofikiri

Hasa nikikumbuka Polepole alivyomlipia faini Katibu mkuu wa Chadema by then Dr Mashinji

Na Shujaa akamlipia mchungaji Msigwa πŸ˜‚
Kumbukumbu nzuri. Lakini, pamoja na hayo, kwa nini Mchungaji anachanganya akili? Sugu, anachanganya akili?
Nimesoma chizi mmoja anasema HECHE naye?

Mbowe alichanganya akili siku nyiki kwenye maridhiano, hili linajulikana.

Ndiyo maana sisi wengine toka mwanzo tukasema, "MTINDO" anaoutumia Samia kuwamaliza CHADEMA ni 'lethal' (sumu kali zaidi); kuliko ule aliokuwa akitumia Magufuli. Samia anabembeleza, anatumia sauti nyororo; "lugha za kistaarabu" huku akikunyonga na wewe unachekelea.
Kuna wengi sana ndani ya CHADEMA waliochotwa akili zote na mtindo wa huyu mama.

Natumaini kuna waliostuka mapema ndani ya chama hicho ili kukinusuru na sumu hii.
 
Mfukuzeni Msigwa kama hakubaliki ndani ya hiki chama cha wachagga
Na ndio wanachokitafuta ili wabaki wachaga watupu. Chama kinakufa kwa kuendekeza ukanda na hi sumu imetapaka
 
Lissu hana cha kupoteza hivi sasa anajua likiharibika ana kwenda kuishi mabanda ya maskini ubelgiji!
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
This is nonsense. mtu kakuibia shati lako, unamdai akupe shati lako, kwa vile ni mbabe anakataa. Unafika wakati shetani wake anapata upako wa Mungu kidogo, anakupa shati lako. Unamshukuru kwa lipi? yeye ndiye akushukuru kwa wewe kukubali kumsamehe na kupokea shati lako
 
Lissu hana cha kupoteza. Watoto wake ni raia wa Marekani huku yeye akiwa na hifadhi ya kudumu Ubelgiji. Watu kama kina Mdude ndo wataendelea kuteseka.
 
Huyu jamaa anaendekeza tamaa na sio kingine ikumbukwe alimsifia Sana mama samia kipindi kamrudisha nchini na kumpa fidia zote ni mshamba na sio mtu wa kumkaribisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…