Lissu akitaka maombi yake yafike, asimuombe Mungu bali Samia

Lissu akitaka maombi yake yafike, asimuombe Mungu bali Samia

Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Hata shetani yaani mkuu wa mashetani, Mikaeli au Lucifer baada ya kumuasi Mungu ana vinguvu fulani kama mnavyomdanganya. Kule kizimkazi zilipigwa zile Sala zenu na kila mtu ambaye angekua Raisi wa nchi hii ule wakati angekufa tu. Angalia wote kwenye series Lowassa, Membe, Magu wamekufa, haaaaa Sasa sijui atamweza Lissu aliyepona risasi 39.? 16 zilimpata, Moja anayo Sasa mwilini, na kule ukonga prison kamweka kwenye eneo la wale wa kunyongwa ili afe. Lucifer tu anaweza kufanya hivyo. Anamjaribu Lissu ati Mimi Lucifer mkuu wa mashetani nitakuokoa, Lissu kama Yesu, yupo pale pale hageuki. Sadist Ushungi
 
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Samia huyu ambaye mikono yake imelowa damu ndiye awe Mungu? Hii kufuru ya mwaka.
 
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Samia atakufa kama mimi na wewe tutakavyokufa ,kama magufuli lilivyokufa. Mungu hafi, Mungu ni wa leo na ksho. Mtumaini Mungu na atatenda lililo jema!
 
Back
Top Bottom