Lissu akitaka maombi yake yafike, asimuombe Mungu bali Samia

Lissu akitaka maombi yake yafike, asimuombe Mungu bali Samia

Go do it yourself since literature has never gone through you pate.
Poor delivery.
Present your work in a way your readers or audiences knows it's a satire (sarcasm).
 
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Wewe siyo wa Kwanza kumkufuru Mungu.
Tayari malipo yako toka kwa Mungu umeshayapata, Kama si leo basi hata kizazi chako Cha nne hi laana itakifikia.
 
Ni Mimi Bwana Mungu wako usiabudu miungu wengine. Hii ni amri ya kwanza katika amri alizopewa Nabii Mussa na Mwenyezi Mungu mwenyewe kule mlima Sinai.
Halafu wanaomshikilia Lissu naona hawana ule uvuvi wa kiroho na kutathimini kwa nini habadiliki na kuja katika meza yao.

Ninavyoona mimi hapa sio Lissu ni yale maneno ya Mwl baba wa Taifa. Baba wa Taifa aliandaa Taifa lake lenye Amani na upende.

Piga picha misuko suko yote anayokumbana nayo utakuta Lissu anaishi katika maneno ya baba wa taifa

Angalia makundi yanayokubaliana na Lissu ni mengi ajabu.

1. Viongozi wa Dini
2. Wanasiasa duniani kote.
3. Viongozi wa nchi mbalimbali
4. Wanaharakati mbalimbali. nk.

No Reforms No Election
 
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyoo

Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Leo hii samia unamuita Mungu?yaani samia ndio aabudiwe?
 
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Mungu ni mmoja tu unless wanga na wachawi ndo wana miungu wengine!!
 
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Mi najua Jamii forum Kuna watu makini wenye utimamu kumbe hovyoo siku hizi kumejaa na division 0 tu humu,Akili hakuna
 
Back
Top Bottom