Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
😆😆Una hakika anazo akili?
😆😆Una hakika anazo akili?
Are you a son of devil?aombwae na kushukuriwa n Mungu si mwingineLeo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Too bad you didn't get it dearAre you a son of devil?aombwae na kushukuriwa n Mungu si mwingine
How if at all everything is very clear for any sane person my friend?Poor delivery.
Present your work in a way your readers or audiences knows it's a satire (sarcasm).
Wewe ni divisheni negative maana umeshindwa kung'amua kitu kidogo kama hiki halafu unawatuhumu wenzako uzwazwa na ukilaza wako. Loo!Mi najua Jamii forum Kuna watu makini wenye utimamu kumbe hovyoo siku hizi kumejaa na division 0 tu humu,Akili hakuna
Kama wewe unayekesha kwa matapeli ukitegemea kutoboa wakati ushatoboka?Mlaaniwe mashetani
Wanazidi kumharibia!mungu SAMIA SULUHU HASSAN.
Haya endeleeni
Watu wanajua kukufuruKwamba sasa Samia huyu huyu aliyekaa magomeni Mapipa amekuwa Mungu siyo?
Basi azidi kuwa mkubwa
Makanisa na misikiti vilijengwa kwa kazi gani? Viongozi wa dini wapo kwa dhumuni gani?Ina maana huwa hamuwezi kumuomba Mungu mkiwa peke yenu?
Nimeuliza tu
Duh, hata kama ndio mahaba ya mama na kutaka likes, tuweke ukomo kidogo.Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Siyo naibu waziri bali waziri Profesa Paramagamba Kabudi. Natamani na sa100 aitwe Mungu ili iwe kama ilivyokuwa kwa Jiwe. AminaNakumbuka enzi za JPM ,kuna naibu waziri alimuita JIWE mh Mungu na wengine wakasema ni zaidi ya Yesu kristo na Mtume Muhammad(SAW).
Baada ya hapo kila kitu kimebaki historia wazee hatuwezi kumpa binadamu ukuu wa M/Mungu ni kufuru.
Naibu waziri wa Afya Mollel ndo alisema Mh Mungu ,huyo Kabudi alisema Yesu kristo na Shekhe Alhad akasema zaidi ya Mtu MuhammadSiyo naibu waziri bali waziri Profesa Paramagamba Kabudi. Natamani na sa100 aitwe Mungu ili iwe kama ilivyokuwa kwa Jiwe. Amina
Hapana. Kabudi alisema Mheshimiwa Mungu na baadaye akarekebisha. Kumbuka uzuriNaibu waziri wa Afya Mollel ndo alisema Mh Mungu ,huyo Kabudi alisema Yesu kristo na Shekhe Alhad akasema zaidi ya Mtu Muhammad
Nakumbuka vizuri sana hayo matukio.
You're right, but either way second commandment says "You shall not take the name of The Lord your God in vain".How if at all everything is very clear for any sane person my friend?
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.