Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Subiri mwakani ndio utaona kivumbi mpaka mtalala na viatuNakuapia kama kila kitu kikatendeka kwa haki CCM haiwezi kutoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mwakani ndio utaona kivumbi mpaka mtalala na viatuNakuapia kama kila kitu kikatendeka kwa haki CCM haiwezi kutoboa
Ikija tume ya democrat mtaiba kama kawa ila sii yarepublican a.k a ya mzee wa kuwaridisha utumwani watu wasiona akili?Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Kweli UCHAWA ni kazi maana inakufanya ujitoe ufahamu. Kwani yeye ndio angepiga kura Mitaa yote iliyoibwa kura?Ndugu zangu Watanzania,
Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda watanzania ni vichaa na mambumbumbu.
Hivi inaingia vipi akilini kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema akamsikiliza lissu na malalamiko yake juu ya uchaguzi au kusikiliza kauli za kilaghai za watu aina ya lissu akiwadanganya wafuasi wake kuwa CHADEMA itashinda uchaguzi? Chama kitashinda vipi uchaguzi wakati viongozi aina ya lissu ndio wakwanza kutokupiga kura?
Nani atakipa kura chama ili kishinde? CHADEMA itashindana vipi na CCM iliyo fanya hamasa kubwa ya kuwataka wanachama,wafuasi na wakereketwa wake wakajiandikishe kwenye daftari la mpiga kura na kuipigia kura CCM katika sanduku la kura?
CHADEMA hii ya lissu itashindana vipi na CCM ambayo wanachama wake walikuwa wakipitiana majumbani kupelekana vituoni kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi? Vipi CHADEMA inaweza ishinda CCM hii ambayo muda wote ilikuwa ikizunguka kwa wananchi kusikiliza kero zao,kutoa majibu na kutatua kero zao?
Vipi CHADEMA hii ya lissu asiyepiga kura ikapata ushindi mbele ya CCM ambayo wanachama wake waliinuka kwa wingi kwenda kupiga kura asubuhi na Mapema wakati yeye Lissu amelala zake nyumbani kwake? Huo ushindi kwa CHADEMA utatoka wapi? Kwa miujiza ipi?
CHADEMA hii ya lissu iliyokuwa ikiokoteza wagombea dhaifu inaweza vipi ishinda CCM ambayo ilikuwa na maelfu ya wagombea waliojiandaa kisawasawa na kwa sera nzito nzito kuomba uteuzi wa chama? CHADEMA hii ambayo ilikuwa haina uwezo hata wa kupiga kampeni nchi nzima inaanzia wapi kuishinda CCM katika sanduku la kura hata kama ingetokea tume ya uchaguzi kutoka Marekani kuja kusimamia uchaguzi huu?
CHADEMA hii isiyo na viongozi wala ofisi wala uongozi ngazi za chini huko inaweza vipi ishinda CCM yenye mtandao wa uongozi mpaka huko vitongojini?
Halafu bila aibu wala haya unaona mtu anajibetua mdomo wake na kusema kuwa CCM imeiba uchaguzi. imeiba kutoka wapi wakati hata kura huna? Hapo hapo mtu kama zito aliyefirisika kisiasa anasema eti wawasusie viongozi hawa waliochaguliwa .
Unaweza vipi msusa mwenyekiti wa mtaa? Utapata wapi barua ya utambulisho unapotaka barua yoyote ile kwa mtendaji wa kata au mtaa wako?utapata wapi barua ya utambulisho unapotaka kumwekea mdhamana ndugu yako huko polisi ambapo ukienda kwa mtendaji wa mtaa atakutaka uwe na barua ya utambulisho? Utapata wapi barua ya utambulisho ukitaka kufanya biashara yoyote ile wakati unafuatilia leseni yako halmashauri? Ukienda kwa mtendaji wa mtaa ni lazima uwe kwanza na barua ya utambulisho mkononi mwako.
Sasa utawasusa vipi watu hawa? Kwa ufupi ni kuwa viongozi wetu hawa wa mitaa na vijiji ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
CCM ni Mbele kwa mbeleeeee.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwanini Unahisi Kila Aliye against na Hoja Zako Dhaifu ni CHADEMA?Ndio akili zenu hizo CHADEMA? Kwa hiyo hamtambui umuhimu wa kura? Vipi kama wafuasi wa CHADEMA waliamua kufuata mfano wa Lissu wakutokwenda kupiga kura? Lissu kama kiongozi ametoa mfano gani na taswira ipi kwa kutokupiga kura?
Mambo yenu si yaleyale tu,utakuwa sio uchaguzi ni uteuzi.Subiri mwakani ndio utaona kivumbi mpaka mtalala na viatu
Huyo mjinga alishaji expose kwa matarajio ya kupewa uteuzi tunamjua hadi anapolala.Kwani anawezaje kuhakikisha lake ni halisi?
Mimi nimeshamaliza endelea kutamba tu na utaahira wako lakini ujue hili ni gwaride.Huna lolote lile dogo.ujinga tu ndio unakusumbua hapa. Kama unajiamini ungetikeza kwa jina lako halisi. Naona huko upinzani mmezoea kumalizana na kutishiana mpaka sasa umenogewa na kujifanya unataka utishe na watu wasiotishika kama mimi.huna akili kabisa.
..Kwamba Mwanafunzi hamzidi Mwalimu..akifuzu hufanana naye?..NapingaàLucas wewe kijakazi wa Spika niliyemfundisha Zanaki utanijibu mini? 😂😂😂
CCM itapita tu hata upinzani ukipewa nafasi ya kusimamia wenyewe kupitia kamati kuu zao bado CCM itaibuka kidedea.Ikija tume ya democrat mtaiba kama kawa ila sii yarepublican a.k a ya mzee wa kuwaridisha utumwani watu wasiona akili?
Embu jipige kifua useme huna akili.Mimi nimeshamaliza endelea kutamba tu na utaahira wako lakini ujue hili ni gwaride.
Kupitia wasimamizi wasaidizi na wasimamizi waenguaji ama sio?CCM itapita tu hata upinzani ukipewa nafasi ya kusimamia wenyewe kupitia kamati kuu zao bado CCM itaibuka kidedea.
Acha kuhangaika dogo.Huyo mjinga alishaji expose kwa matarajio ya kupewa uteuzi tunamjua hadi anapolala.
Wewe taahira hata marinda huna bwege weweEmbu jipige kifua useme huna akili.
Hana akili tena ama aseme yeye mjanja kama sungura au kama amekunywa sungura.?Embu jipige kifua useme huna akili.
Jipige kifua kwa nguvu sana useme huna akili na umelaaniwa na aliyekulaani alishafariki na hivyo na wewe utakufa ukiwa na laana.Wewe taahira hata marinda huna bwege wewe
Wewe unayepinda mgongo kuandika magazeti yako ambayo hayana maudhui ndiye unahangaika na wenye chama wanakuona kama changudoa anayetafuta danga.Acha kuhangaika dogo.
Aseme hana akili.Hana akili tena ama aseme yeye mjanja kama sungura au kama amekunywa sungura.?
Endelea kuteseka tu humu na ujinga wako.Wewe unayepinda mgongo kuandika magazeti yako ambayo hayana maudhui ndiye unahangaika na wenye chama wanakuona kama changudoa anayetafuta danga.
Wewe ndiye una laana tangu umeanza uchawa umepata nini cha maana unayejipendekeza kwake anakuona wewe choko tu.Jipige kifua kwa nguvu sana useme huna akili na umelaaniwa na aliyekulaani alishafariki na hivyo na wewe utakufa ukiwa na laana.
Kweli nini kama utapeli wa r'sIla kweli!