LGE2024 Lissu Alitaka CHADEMA Ishinde uchaguzi Kupitia Kura ya Nani Wakati yeye Mwenyewe Hakupiga Kura?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Ikija tume ya democrat mtaiba kama kawa ila sii yarepublican a.k a ya mzee wa kuwaridisha utumwani watu wasiona akili?
 
Kweli UCHAWA ni kazi maana inakufanya ujitoe ufahamu. Kwani yeye ndio angepiga kura Mitaa yote iliyoibwa kura?
 
Ndio akili zenu hizo CHADEMA? Kwa hiyo hamtambui umuhimu wa kura? Vipi kama wafuasi wa CHADEMA waliamua kufuata mfano wa Lissu wakutokwenda kupiga kura? Lissu kama kiongozi ametoa mfano gani na taswira ipi kwa kutokupiga kura?
Kwanini Unahisi Kila Aliye against na Hoja Zako Dhaifu ni CHADEMA?
Kwani CCM haturuhusiwi Kukupinga Upupu Wako?

Hii Ni kadi Ya CHADEMA kwa wewe Ukiangalia..?

Jirekebishe Hoja Zako Ni dhaifu sana..
 
Mimi nimeshamaliza endelea kutamba tu na utaahira wako lakini ujue hili ni gwaride.
 
Ikija tume ya democrat mtaiba kama kawa ila sii yarepublican a.k a ya mzee wa kuwaridisha utumwani watu wasiona akili?
CCM itapita tu hata upinzani ukipewa nafasi ya kusimamia wenyewe kupitia kamati kuu zao bado CCM itaibuka kidedea.
 
Jipige kifua kwa nguvu sana useme huna akili na umelaaniwa na aliyekulaani alishafariki na hivyo na wewe utakufa ukiwa na laana.
Wewe ndiye una laana tangu umeanza uchawa umepata nini cha maana unayejipendekeza kwake anakuona wewe choko tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…