Pre GE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

Pre GE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..Mbowe huyu hapa anaeleza kila kitu.

..Na anasema aliyeshika chupa ya damu ni Msigwa.

..Mbowe hajawahi kusema kuwa yeye ndiye alishika chupa ya damu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ

IMG_20240606_164650.jpg
 
Kwa hiyo mtu yoyote uko Chadema akiwa tofauti na fikra za Mbowe anakuwa hataki chama anaoneshwa mlango wa kuondoka?
Hapana mimi sijasema hivyo, kuhusu Chadema kila mtu anajuwa ukimgusa Mbowe unaondoka wala sio siri, yalimkuta Kabwe lakini kina Lissu walikaa kimyaa. Point yangu Lissu yeye asimame agombee kuwa mwenyekiti matokeo akubali ila kama anaona ngumu basi badala ya kutafuta huruma aseme tu mimi nahama chama kama mwanamme bila malalamiko sijui sijashikiwa damu, sijui hajanipigia simu haya hayana umuhimu kwa kweli. amua moja tu.
 
Msimfunge mdomo ana haki ya kujieleza. Mbowe sio Mungu.
 
..wewe umemnukuu Lema.

..Na Lema hakuwepo kwenye ndege iliyomsafirisha Lissu.

..mimi nimemnukuu Mbowe mwenyewe akisema Msigwa ndiye aliyebeba chupa ya damu.

..sasa hapa wewe unataka kumuamini Mbowe, au Lema?

..Na unataka wasomaji wako wamuamini nani?
Hapa sio suala la kuamini.

Ishu ni Lissu katolea ufafanuzi kauli ya uongo ya Lema. Nothing else
 
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu.

Amesema aliyeshika chupa ya damu aliyokuwa akiongezewa ni Mchungaji Peter Msigwa mwanasiasa nguli asiyeogopa hila na figisu.

Wataalam wa mambo ya siasa za kusini mwa jangwa la sahara wanasema hii kauli imebeba maana kubwa sana.

View attachment 3010310

Kuna mahali Mbowe kaharibu, nitasimama na lisu kwa jambo lolote analosema.
 
Sijawahi kuona watu wajinga kama Chadema badala ya kupigania masuala ya kitaifa wanajikita kwenye chupa ya damu kubebwa inawasaidia nino wananchi,Lissu,Mbowe,Lema,Msigwa wote ziro. Hamna kitu hapo
..mtoa mada ni anapotosha.

..wanajaribu kutengeneza ugomvi kati ya Mbowe na Lissu.

..Msikilize Mbowe hapa chini akieleza kwamba aliyebeba chupa ya damu ni Msigwa.

..Na hii video ya Mbowe ni ya kabla hata Lissu hajarejea hapa nchini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ
 
..mtoa mada ni anapotosha.

..wanajaribu kutengeneza ugomvi kati ya Mbowe na Lissu.

..Msikilize Mbowe hapa chini akieleza kwamba aliyebeba chupa ya damu ni Msigwa.

..Na hii video ya Mbowe ni ya kabla hata Lissu hajarejea hapa nchini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ

Nafikiri ulimaanisha Lema anasema uongo ni muongo, uzuri Lissu ameshaweka clear kila kitu.
 
Msimfunge mdomo ana haki ya kujieleza. Mbowe sio Mungu.
Hivi kabla hujajibu huwa unasoma nimeandika nini? wapi namtetea Mbowe, nimesema kila mtu anajua Mbowe anaamini chama mali yake haguswi na mimi sijawahi kumuamini kama mpinzani ile Ngo yake tu. Nachosema Lissu asilete story za chupa ya damu. Atangaze tu mimi nagombea uwenyekiti wazi hakuna haja ya kulalamika.
 
..hao wameleta clip imekatwa ili kufanikisha malengo yao ya kumchafua Lissu na Mbowe.

..Mbowe huyu hapa akieleza nini kilitokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi.

..ktk clip Mbowe anaeleza Msigwa alibeba chupa ya damu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ
 
Acheni kuwachonganisha wanachema mkiamini wakifurugana watahamia kwenu na nyie mpate ushindi kwa kukisambaratisha chama kikuu cha upinzani kuelekea uchugauzi mkuu ujao. Hata CHADEMA ikisambaratika bado wananchi wana pa kupeleka kura zao maadamu tu wapate mabadiliko ya kisiasa nchini.
 
And this is an Issue how ?

Mazungumzo baada ya Habari yanapofanywa kuwa Habari Kuu no wonder hatupati muda wa kuhoji kauli za kina Ndugai kama kweli tunauzwa au hapana ?
 
Back
Top Bottom