Pre GE2025 Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa (sio Mbowe)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu kweli wazushi kaongea wazi na ukweli sababu sio rahisi kudanganya tukio limeshuhudiwa na wote.
 
..Mbowe alishaeleza suala hilo tangu zamani.

..hebu msikilize hapa chini.


View: https://www.youtube.com/watch?v=fyDrDx9HHAQ
Mtiririko wa bahati ya watu tofauti aliokutana nao Lissu waliopigania aishi toka anapigwa risasi kila mtu kipekee mpaka anafika Nairobi. Mambo kama haya yanakufanya ufikirie uwepo wa higher powers zilizoamua afi siku hiyo, it’s a miracle Lissu is alive today.
 
Watu kweli wazushi kaongea wazi na ukweli sababu sio rahisi kudanganya tukio limeshuhudiwa na wote.
Sio watu ni Lema ndio mzushi, ila Lissu kamuumbua.
 
Mbowe ni tatizo la ukombozi wa hii nchi. tuwe wakweli.
 
Mbona lema anaeleweka ccm wanadhani watafanikiwa kumtenganidha mbowe na lissu

Hii project yao mbona imeshafeli

Badala ya kuilaumu serekali kutofanya uchunguzi eti wako bize. Kuonyesha nani anamjali zaidi lissu
 
Aliyemuua chacha wangwe ndio muuaji mkubwa zaidi
Una ujinga uliochanganyika na upumbavu kama hii ndio recruit mpya ya tiss basi tumeumia

Hii project yenu itafelii tu hamtumii akili nyie wapumbavu
 
Aisee watanzania wala hatuna mpango wa kusikiliza hiz habar za kijinga jinga za kushikiana chupa za damu mkiwa kwenye ndege.

Watanzania masikini hata hizo blood bags tu hawana huko vijijin wapendwa wao wanakufa mikonon mwao huku madaktari waki wakejeli, hawana hata 10 mbovu kugharamia matibabubya msingi kisa ubovu wa utawala wa nchi hii.

Please please CHADEMA and the company, achaneni na hiz agenda za kitoto na za kijinga, si vitu tunahitaji kuvisikia kama watanzania. Mmekua wapumbuvu sana kushikilia mijadala isio na tija yoyote kwa watanzania
 
Ukiandika habari moja ya kuchafua Chadema jf, Unalipwa Laki 1 kutoka kwa Pedeshee, ndio maana wanapishana humu na muda si mrefu wataanza kulogana
Video Ina UKWELI hiyo, mbona imekatwa?
 
Wote wapo.
Mbowe anasemaje, ni yeye?
Na Msigwa yupo, ni yeye kweli aliyebeba chuapa?
Lissu hakuwa katika hali ya kujuwa nani kabeba chupa.
Hayo maneno kwenye kundi hilo yatakuwa ni hisia tu za wakati huo wa kikao hicho kwa mazingira ya kikao kilivyokuwa.
 
Kajichanganya sana kuingia kumi na nane za team lissu.
 
Dikteta Mbowe hafurukuti kwa Lissu
 
Ni nani hasa anayeingiza na kuchochea mijadala hiyo kwa sasa? Inawezekana huyo ndiye anayenufaika na hayo yanayoendelea ndani ya CHADEMA.

Kazia hoja hii nzuri uliyoiibua huko huko kunakohusika.
 

..Mbowe alishasema kuwa ni Msigwa tena akiwa kijijini kwa kina Lissu. Na kauli hiyo aliitoa wakati Lissu bado hajarejea nchini.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu Kuna mengi sana tutayajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…