OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.
Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.
Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!