Lissu ameingia. Makonda aaandae majibu ya vyeti, utekaji na uvamizi

Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.

Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.

Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Akapambanie wanae huko USA.
 
Kila siku maneno hayo hayo inachosha, kama ana ushahidi si aende mahakamani tu
Huo ndio ujinga unaotisha. Kama mtu anajiita Dr, halafu mpaka leo hujui kuwa hakuna raia mwenye uwezo wa kufungua kesi ya jinai dhidi ya yeyote, basi wewe utakuwa unahama kwenye ujinga na kuutafuta upunguani.

Jinai haiozi. Kuna siku, nchi itakuja kuipata Serikali na jeshi la polisi la kweli, na mwovu huyu mtekaji na muuaji atalipwa sawa na uovu wake.
 
Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.

Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.

Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Upinzani ni wapuuzi,
 
Mkiitwa maripota mnakuja juu..kwa hiyo lissu anakuja kumuongelea mtu badala ya issues? Wakati mwenzenu yupo bize kuwachana watendaji wake wapige kazi..

Halafu 2025 mtegemee kupata kura kwa kumsema Makonda.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Kuua.. kuteka..kupiga ..kuchinja siyo kosa kama umeyafanya hayo katika haki ...mitume wote waliua makonda alikuwa ana pambana na wauza ngada wakubwa na mafisadi wengine wengitu....mfano mtu kama tundu lissu hata angeuliwa ingekuwa sawa tu maana alikuwa ana wasaidia mafisadi wa migodi kutupiga
Ukisikia siku moja wanaitwa au kutafutwa watu punguani, vichaa, wehu, au wasio na akili wala maarifa, usikose kwenda.

Wenye akili timamu wanafahamu wazi kuwa Tundu hakuwahi kumsaidia mtu yeyote kuiba madini ya Tanzania, lakini kwa vile analipenda Taifa lake, na ni mtu mwenye akili kubwa, anayeiona kesho kabla ya kesho, aliitahadharisha nchi kutofanya maamuzi ya pupa ili mchi isiingie kwenye hasara. Baada ya wenye mamlaka kushupaza shingo, sasa nchi inateseka. Tumeamriwa kuilipa Kampuni ya Indiana ya Australia zaidi ya dola milioni 110, tumekwishailipa Winshear zaidi ya dola milioni 30, kesi nyingine 2 zingali mahakamani na hakuna dalili ya kushinda. Waliostahili kuuawana ni hao waliotusababishia hasara hizi. Na kwa sababu hatujigunzi, siku zijazo tutatakiwa kuwalipa DPW.
 
Humjui huyo mweu tundu ...huyo jamaa mbele ya mzungu ni 0 kabisa...kwake mzungu ni kama mungu
 
Kuua.. kuteka..kupiga ..kuchinja siyo kosa kama umeyafanya hayo katika haki ...mitume wote waliua makonda alikuwa ana pambana na wauza ngada wakubwa na mafisadi wengine wengitu....mfano mtu kama tundu lissu hata angeuliwa ingekuwa sawa tu maana alikuwa ana wasaidia mafisadi wa migodi kutupiga
Ficha upumbavu wako wewe. Jitahidi kujenga hoja zenye mashiko. Usifanye wanaCCM wote tuonekane wapumbavu kama wewe.
 
Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.

Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.

Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
anachochea moto left, right and center ndani ya ccm na nje ya ccm, mbona maji yataitwa mmaa mpaka2025
 
Mimi nafikiri mngejikita katika kutafuta na kuhitaji majibu juu ya utafunaji wa pesa uliokithiri ndani ya CHADEMA ambapo pesa zinatafunwa bila huruma wala aibu huku chama na wanachama wakibakia mbavu tupu .malizeni pia migogoro yenu inayoendelea kukitafuna chama Chenu kunakotokana na wajanja kukitumia chama kama mradi binafsi huku wanachama mkiendelea kutizamwa kama manyumbu
Inakuwaje CCM mmejikita kwenye kukumbatia huyo mhalifu kwa kufoji vyeti Daud Albert Bashite badala ya kufuata sheria za nchi afikishwe mahakamani?
 
Hivi nyie nyadomo huwa manajielewa kweli, badala mlete sera za kujenga nchi ili mpate remote mnaleta sera za kumuattack mtu mmoja mmoja huyo makonda akiondoka au akitumbuliwa nyie chadomo mtakuja kushika dola? Kila siku makonda ni kama amewashika pabaya😂😂😂 poleni sana yupo na ataendelea kuwepo nawaomba mjikite kwenye masuala ya msingi.
Acha makasiriko, hoji kwa staha.
 
Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.

Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.

Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Makonda anazungumza masuala ya maji, Barabara,Afya nk na nyie ajenda Kwa Wananchi ni vyeti,uvamizi na utekaji.Sawa, sisi tupo hapa jukwaani tunasubiri yowe la kichapo kwenye Uchaguzi.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom