Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Wewe vyeti vyako vimekupa nini?Hakuna anaetaka makonda et afungwe ni lazima tukumbushe ukwel kuwa hana vyeti kabisa .tuliosoma nae tunamjua hana ubavu darasani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe vyeti vyako vimekupa nini?Hakuna anaetaka makonda et afungwe ni lazima tukumbushe ukwel kuwa hana vyeti kabisa .tuliosoma nae tunamjua hana ubavu darasani
Nani kasema vyeti ni wazazi vinatakiwa vikupe kitu? Ukifoji vyeti ww ni mhalifu haufai kuwa kiongozi mileleWewe vyeti vyako vimekupa nini?
Haya mpeleke mahakamaniNani kasema vyeti ni wazazi vinatakiwa vikupe kitu? Ukifoji vyeti ww ni mhalifu haufai kuwa kiongozi milele
Kwani james delicious ni shoga hatujampeleka mahakaman ila hatutaki awe kiongozi ndivo hatutaki muuaji mtekaji huyuHaya mpeleke mahakamani
Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.
Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.
Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Vyeti vyake kutokumpa kitu hakuhalalishi mwingine kugushiWewe vyeti vyako vimekupa nini?
Umemjibu kisomiVyeti vyake kutokumpa kitu hakuhalalishi mwingine kugushi