OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wewe ndio Yule mwasibu?Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.
Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wako dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jioni akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.
Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Kuua.. kuteka..kupiga ..kuchinja siyo kosa kama umeyafanya hayo katika haki ...mitume wote waliua makonda alikuwa ana pambana na wauza ngada wakubwa na mafisadi wengine wengitu....mfano mtu kama tundu lissu hata angeuliwa ingekuwa sawa tu maana alikuwa ana wasaidia mafisadi wa migodi kutupigaKama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.
Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.
Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Hivi nyie nyadomo huwa manajielewa kweli, badala mlete sera za kujenga nchi ili mpate remote mnaleta sera za kumuattack mtu mmoja mmoja huyo makonda akiondoka au akitumbuliwa nyie chadomo mtakuja kushika dola? Kila siku makonda ni kama amewashika pabaya😂😂😂 poleni sana yupo na ataendelea kuwepo nawaomba mjikite kwenye masuala ya msingi.Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.
Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.
Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Na wewe nimuuaji?Kila siku maneno hayo hayo inachosha, kama ana ushahidi si aende mahakamani tu
Ww hujitambui kabisa kama mnaushahidi nendeni mahakamani ngoja Makonda awanyooshe kidogo.Kuua.. kuteka..kupiga ..kuchinja siyo kosa kama umeyafanya hayo katika haki ...mitume wote waliua makonda alikuwa ana pambana na wauza ngada wakubwa na mafisadi wengine wengitu....mfano mtu kama tundu lissu hata angeuliwa ingekuwa sawa tu maana alikuwa ana wasaidia mafisadi wa migodi kutupiga
Soma nilicho andika ndiyo ucommentWw hujitambui kabisa kama mnaushahidi nendeni mahakamani ngoja Makonda awanyooshe kidogo.
Hivi ataanza kulia tena badala aoneshe vyeti halisi na uhalali wa kuitwa Paul Makonda.Kama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.
Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.
Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Mbowe na Lisu wana laana ya kushangilia kifo cha MagufuliKama itakuwa ngumu yeye kuandaa majibu basi aliyemteua na CCM kwa ujumla muandae dokezo la majibu. Kwa yeye mambo ni machache tu; Vyeti feki, uvamizi na utekaji ikiwemo unyanganyi.
Hii ni siasa, huwezi kumpangia mpinzani wako pa kupiga. Licha ya hivyo pia ni kuiambia serikali kutimiza wajibu wake dhidi ya maovu na jinai. Tunaona mtenda jinai akipewa tuzo badala ya kuchezea nondo na nyapara.
Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?!
Ubeleji ni wapi?Lissu amekosa sifa zote. Ni Raia wa Ubeleji