Lissu ameingia. Makonda aaandae majibu ya vyeti, utekaji na uvamizi

Akapambanie wanae huko USA.
 
Kila siku maneno hayo hayo inachosha, kama ana ushahidi si aende mahakamani tu
Huo ndio ujinga unaotisha. Kama mtu anajiita Dr, halafu mpaka leo hujui kuwa hakuna raia mwenye uwezo wa kufungua kesi ya jinai dhidi ya yeyote, basi wewe utakuwa unahama kwenye ujinga na kuutafuta upunguani.

Jinai haiozi. Kuna siku, nchi itakuja kuipata Serikali na jeshi la polisi la kweli, na mwovu huyu mtekaji na muuaji atalipwa sawa na uovu wake.
 
Upinzani ni wapuuzi,
 
Mkiitwa maripota mnakuja juu..kwa hiyo lissu anakuja kumuongelea mtu badala ya issues? Wakati mwenzenu yupo bize kuwachana watendaji wake wapige kazi..

Halafu 2025 mtegemee kupata kura kwa kumsema Makonda.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia siku moja wanaitwa au kutafutwa watu punguani, vichaa, wehu, au wasio na akili wala maarifa, usikose kwenda.

Wenye akili timamu wanafahamu wazi kuwa Tundu hakuwahi kumsaidia mtu yeyote kuiba madini ya Tanzania, lakini kwa vile analipenda Taifa lake, na ni mtu mwenye akili kubwa, anayeiona kesho kabla ya kesho, aliitahadharisha nchi kutofanya maamuzi ya pupa ili mchi isiingie kwenye hasara. Baada ya wenye mamlaka kushupaza shingo, sasa nchi inateseka. Tumeamriwa kuilipa Kampuni ya Indiana ya Australia zaidi ya dola milioni 110, tumekwishailipa Winshear zaidi ya dola milioni 30, kesi nyingine 2 zingali mahakamani na hakuna dalili ya kushinda. Waliostahili kuuawana ni hao waliotusababishia hasara hizi. Na kwa sababu hatujigunzi, siku zijazo tutatakiwa kuwalipa DPW.
 
Humjui huyo mweu tundu ...huyo jamaa mbele ya mzungu ni 0 kabisa...kwake mzungu ni kama mungu
 
Ficha upumbavu wako wewe. Jitahidi kujenga hoja zenye mashiko. Usifanye wanaCCM wote tuonekane wapumbavu kama wewe.
 
anachochea moto left, right and center ndani ya ccm na nje ya ccm, mbona maji yataitwa mmaa mpaka2025
 
Inakuwaje CCM mmejikita kwenye kukumbatia huyo mhalifu kwa kufoji vyeti Daud Albert Bashite badala ya kufuata sheria za nchi afikishwe mahakamani?
 
Acha makasiriko, hoji kwa staha.
 
Makonda anazungumza masuala ya maji, Barabara,Afya nk na nyie ajenda Kwa Wananchi ni vyeti,uvamizi na utekaji.Sawa, sisi tupo hapa jukwaani tunasubiri yowe la kichapo kwenye Uchaguzi.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…