Lissu ameingia. Makonda aaandae majibu ya vyeti, utekaji na uvamizi

Lissu ameisha upepo upo kwa Makonda, Makonda anafanya siasa zinazogusa jamii moja kwa moja tofauti na Lissu Ndio Maana anagain popularity siku zinavyozidi kwenda

Siasa zipi zinazogusa jamii?!

Ama hizi kiki za kupanda farasi,?

Kawadanganye hao pumbavu wenzio huko ccm
 
Lissu ameisha upepo upo kwa Makonda, Makonda anafanya siasa zinazogusa jamii moja kwa moja tofauti na Lissu Ndio Maana anagain popularity siku zinavyozidi kwenda
Kweli wajinga hawaishi nchi hii, kuingia na farasi au baiskeli mkutanoni ndio ku gain popularity? Hivi watu wa aina yako wamo humu "home of great thinkers"?
Hivi unadhani wale vijana walio maliza shule za kata, vyuo vya kati na vyuo vikuu kwa maelfu mitaani unakuja na mbwembwe za farasi bila HOJA ZA MSINGI za maisha yao ndio utawavutia zaidi ya kuwazingua tuu?
 
Watu kama nyie ni kheri kufuga mbuzi atanywewa supu siku ya Iddi au kuku utapata mayai kwa afya yako kuliko kuwa nanyi.
Maana kwa akili hizi lazima utakuwa unaishi kwa shemeji unafugwa au ni kwa wazazi wasio na mwenendo mzuri kwa watoto.
 
Lissu ameisha upepo upo kwa Makonda, Makonda anafanya siasa zinazogusa jamii moja kwa moja tofauti na Lissu Ndio Maana anagain popularity siku zinavyozidi kwenda
Umeandika mambo makubwa sana ama kwa kuelewa ama kwa kutoelewa.
Ni kweli kabisa kuwa Nchi yetu inaongozwa kwa UPEPO, tena UPEPO WA USANII.
Na hii ni aibu kubwa sana kwa Taifa letu.
Jamii ijiulize, hizo KERO zinazotajwa kwenye Majukwaa kwa kupigia simu Mawaziri zimeletwa na CHAMA KIPI hapa Tanzania?
Upuuzi unaofanyika wa kuwapigia simu Mawaziri, na Mawaziri wanavyo jinyenyekeza (kwenye simu), kunatatuaje KERO zilizoletwa na CCM?
Kwa nini CCM inafikiri kwamba Watanzania ni Wapumbavu wasioweza kutofautisha USANII na Utatuzi wa KERO zao?
Kama CHADEMA wataenda kushughulikia Vyeti (vya kughushi) vya mtu mmoja, watakuwa wamefeli sana.
Chadema wanatakiwa wamtumie huyo mwenye Vyeti vya kughushi kuwathibitishia Watanzania kuwa CCM IMESHINDWA KUONGOZA NCHI YETU, kiasi kwamba, hata mwenye VYETI VYA KUGHUSHI ameona hayo mapungufu makubwa, na Mawaziri, tena Mawaziri wasomi wanakiri hadharani kila wanapopigiwa simu.
 
Lissu akomae kuuza ilani ya chadema,kupambana na MAKONDA ni sawa na yeye kufukuza upepo.


Hiyo ndio itaonyesha hawana mpango na dola bali ni wahuni wanaotumika na baadhi ya wana CCM kwa maslahi binafsi
 
Bro kwa Bahat nzuri nipo kwenye msafara huu anaopita makonda, nikuhakikishie Jamaa ana watu na wanampenda kweli, narudia wanampenda kweliiiii, sidhani kama lisu ataeleweka kwa kudai vyeti vya makonda. Na amini CCM ilikuwa inafutika taratibu kanda ya ziwa lakini wameshtuka ghafla. Uteuzi wa makonda umeirejesha Tena na Bahat nzuri makonda anatembelea nyota ya Magufuli. Niliwahi kuwasihi Chadema kwamba mkitaka kufanikiwa tumieni vizuri jina la Magufuli mtatoboa lakini wakaamua kuendelea kumnanga hata walipokuwa kanda ya ziwa. Mwanakulifuta mwana kulipata. CCM wajanja wao husoma nyakati na kuamua kubadilika kulingana na mazingira. Am sorry to say CCM is back in full control in lake zone because of makonda. Over
 
Mwamba umeongea point kubwa hata mimi nililiona Hili sema wapinzani wa nchi hii ni wajuaji mno
 
Makonda ni kumpiga risasi tu. Tuone na yeye kama atapona kama alivyopona Lissu.

Kizazi cha mwendazake kifuatiliwe. Hii nchi ni yetu sote waovu hawapaswi kuishi
 
Sisiemu ni mafiiii tu ...kumbe na wewe sisiemu ....your totally shit
Wewe ni mpumbavu mno. Unavyosema Lissu anatupiga kwenye migodi yeye ndo alisaini mikataba? Mitume gani waliua watu? Akili yako ina mavi.
 
Tundu Lissu na Chadema ni wahanga wa utekaji na uvamizi. Anaenda kutumia hii kuwaambia watu oneni rais wenu je ana nia kweli ya kupambana na maovu?![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie huyo rais wako unayemsifia sifia, aruhusu kesi ya mauaji ya Lisu ianze kunguruma, mnaficha nini uvunguni. Lisu karudi na dereva wake yupo mlichodai hawapo nchini, sasa wapo unasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…