Lissu ameingia. Makonda aaandae majibu ya vyeti, utekaji na uvamizi

Kila siku maneno hayo hayo inachosha, kama ana ushahidi si aende mahakamani tu
Yatabaki hayo hayo mpaka muuaji aliedhulumu nafsi za wasio hatia atakapo pokea haki yake ya uuaji.
Hata USA haijatengua katazo la marufuku ya bashite maana ujasusi wa CIA unamfahamu ndani nje na kwamba hajafikishwa katika mahakana za kisheria kwa hukumu ama kutakaswa au kuhukumiwa juu ya hii hatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku maneno hayo hayo inachosha, kama ana ushahidi si aende mahakamani tu
Na huu ndio ujinga wa waTanzania, hivi kila kitu mkitaka raia wa kawaida ndio watafute ushahidi unadhani nani atafungwa? Tuhuma zikiwa substantial ni serikali kuchukua hatua kufanya uchunguzi.

Mbona TAKUKURU waliipekua chadema kwa tuhuma za mtandaoni kuwa mbowe anakula ruzuku? Ila viongozi wa CCM wakiwa na kashfa mnataka raia ndio watoe ushahidi.
 
Kweli wewe kama jina lako lilivyo kitombile na ndivyo ulivyo. Katika masuala ya msingi ambayo yatakuwepo na kupiganiwa mpaka vitukuu vyako vitashuhudia ni KUWASAKA WAUAJI WA LISU. MAKONDA ATATUELEZA SIKU LISU ANAPIGWA RISASI DODOMA ALIENDA KUFANYA NINI WAKATI ENEO LAKE LA KAZI LILIKUWA DAR ES SALAAM TENA KIONGOZI WAKE RAIS ALIKUWEPO PALE AKIHUTUBIA, KWA NINI ALIMKIMBIA AKAENDA DODOMA KWA WAZIFA WAKE WA MKUU WA MKOA KIPINDI HICHO.
 
Huyu ni kumpeleka mahakamani kama yeye, kwa mamlaka yapi aliyokuwa nayo yalivyomfanya kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds usiku wa manene akiwa na silaha nzito.
 
Wewe ni mpumbavu mno. Unavyosema Lissu anatupiga kwenye migodi yeye ndo alisaini mikataba? Mitume gani waliua watu? Akili yako ina mavi.
Baba ysko kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe .....kijambio cha saa mia moja na nusu wewe
 
Na vyeti vya makengeza viwe karibukaribu ili iwe FARE kwenye hilo zoezi la uhakiki 😆
 
Ni afadhali Tundu Lissu anyamaze .bila hivyo atatuambia nani alimwambia kuwa Magufuli amekufa kabla ya Serikali kusema.maana yake alijua mchezo wote ulivyokuwa.serious namshauri anayamaze otherwise atajikuta alopoka vitu vya hatari kwa Taifa .achana na makonda nakwambia
 
Mkuu hizi akili zako ndo zinafanya upinzani uwe unaburuzwa kwenye uchaguzi. Huko mtaani uhalisia hauko hivyo unavyodhani. Hizi mbwembwe unazoona ndo zinapendwa na wapiga kura. Chama chenye fikra za kudhani wanaojiita great thinkers ndo muhimu huwa kinaadhibiwa vibaya mno kwenye sanduku la kura. Kuna kauli fulani ya kijinga sana kwamba CCM inapendwa na wajinga bila kufikiria hao "wajinga" ndo hupanga foleni kupiga kura. Kama CHADEMA mngefuata ushauri wa Lowasa mngekuwa mbali sana.
 
Vyeti vya Mbowe aliishaviona?
 
If that's the case, kwa nini mnaiba kura na tume huru hamuitaki? Mtaishi kwenye kivuli cha uongo hadi lini nyie watu?
Hivi mnaona kuwa hao wapiga kura ni wajinga namna hiyo?
 
tunataka majibu, ya zile nissan zilizokuwa zinakimbia toka dodoma kwenda dsm siku ya shambulizi la lisu, vyeti, utekaji wa roma mkatoliki na wengine, na unyang'anyi wa mali.
 
Hawana ajenda ya maana wao ni kudandia hochote kitakachiwapa political mileage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…