Lissu amejifunza nini kujitokeza kwa watu wachache sana kumchangia pesa za kununua gari la kifahari?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi.

Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama anavyowachukulia.hii ni kwa kuwa tulikuwa tunashuhudia CHADEMA ikipinga sana na kukosoa sana manunuzi na matumizi ya magari ya bei kubwa.hata pale watu walipowajibu kuwa magari hayo ni kutokana na uimara wake na usalama pamoja na kuwezesha kutembea umbali mrefu pasipo shida bila kujalisha aina ya barabara,lakini wao CHADEMA walipinga sana manunuzi na matumizi yake.

Lakini leo Lissu yule yule anataka aina ya gari zilezile za bei kubwa ile ile na ulaji mkubwa wa mafuta ule ule aliokuwa anaupinga yeye na chama chake miaka kadhaa iliyopita. Hapa ndipo watanzania wameamua kumgomea na kumwambia kwa matendo kuwa wao siyo nyumbu au mazuzu.

Pili Lissu ni lazima atakuwa amejifunza kuwa hana watu wanaomuunga mkono na kuweza hata kuchagulika kuwa Rais wa Nchi hii. Unajuwa Lissu alikuwaga anajiona kama ni mtu mkubwa sana na mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania na anayeweza kuzungumza lolote lile na watanzania wakakubali tu kama wajinga.lakini amejionea Mwenyewe kuwa hana watu hata elfu kumi tu nchi nzima yenye mamilioni ya watu, hii ndio sababu mpaka sasa hajafikisha watu hata elfu saba tu waliomchangia pesa.

Tatu Lissu amejifunza kitu kuwa Mheshimiwa Mbowe ni maarufu na anakubalika sana na mwenye ushawishi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuliko mwanachama mwingine yeyote yule,yaani wa kawaida na hata miongoni kwa viongozi.hii ni kwa kuwa kama Mh Mbowe angeomba mchango kwa wanachama wake na watanzania wote kwa ujumla, naamini angekuwa amefikisha mamilioni ya pesa mpaka sasa. Ushahidi wa hili ni pale alipoamua kuwaomba marafiki na watu mbalimbali anaofahamiana nao na kumchangia pesa kwa ajili ya kkkt .ambapo Mheshimiwa Mbowe alikusanya mamilioni ya pesa, ambapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa alichangia takribani Millioni 150.

Tatu Lissu amejifunza kutodharau taasisi na kujiona yupo juu ya taasisi. lissu alianzisha michango hiyo kivyake vyake tu kana kwamba alikuwa anataka kupeleka ujumbe kwa chama kuwa yeye ni mkubwa na ni taasisi ndani ya taasisi na kwamba anaweza kufanya chochote kile na akafanikiwa.badala yake imekuwa kinyume na mpaka sasa anatoa jasho na kuhenyeka kwelikweli kupata michango,ambapo hata hivyo hali bado ni mbaya sana huku wenzake wakiendelea kumchora tu na kumuangalia akipuyanga.

Nne Lissu amejifunza kushirikisha wenzake.lissu alikosea sana kujianziashia tu jambo bila hata kumshirikisha mwenyekiti wake walau akampa hata baraka tu na kuonyesha hadharani kumuunga mkono.lakini yeye Lissu kwa tamaa zake,ubinafsi na kujiona kuwa yeye ni mkubwa na ni taasisi ndani ya taasisi akajiendea kichwa kichwa tu kwa kujiaminisha kuwa yeye ndio chama na mwenyekiti kimvuli wa CHADEMA.

Tano Watanzania wamepeleka ujumbe kuwa wao wapo huru katika Taifa lao na kwamba hawawezi kumchangia pesa kwa ajili ya kununua gari la kifahari kwa matumizi yake binafsi . watanzania wapo tayari kuchangia maendeleo yao kama vile ujenzi wa shule, zahanati,kituo cha Afya,n.k.lakini siyo kumchangia mtu gari la mamilioni la kupanda yeye na kwenda kuwatembelea akiwa kwenye kiyoyozi watanzania anaowaita ni masikini .si bora angesema anataka gari la hata millioni 40?

Uzalendo gani wa kutaka gari la kifahari na bei kali kwa michango ya watu unaosema ni maskini wa kutupwa?

Mwisho Lissu amekidhalilisha sana CHADEMA kwa kujuwa au kutokujua ,kwa sababu ameonyesha kuwa chama hakipo makini mpaka kufikia hatua ofisi ya makamu mwenyekiti haina gari la kufanyia shughuli za chama.japo hapa inawezekana gari zikawepo lakini ikawa ni ubinafsi na tamaa ya Lissu kutaka gari la kifahari na la mamilioni ya pesa kwa starehe zake binafsi.ikumbukwe kuwa gari itakayonunuliwa ni mali yake binafsi na yenye majina yake mwenyewe na siyo mali ya ofisi ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA au chama.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mkuu mbona haujasema ni kiasi gani cha mchango kimefika mpaka sasa?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi.

Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama anavyowachukulia.hii ni kwa kuwa tulikuwa tunashuhudia CHADEMA ikipinga sana na kukosoa sana manunuzi na matumizi ya magari ya bei kubwa ,kwa hoja kuwa yanakula sana mafuta.hata pale watu walipowajibu kuwa magari hayo ni kutokana na uimara wake na usalama pamoja na kuwezesha kutembea umbali mrefu pasipo shida bila kuhalisha aina ya barabara,lakini wao CHADEMA walipinga sana manunuzi na matumizi yake.

Lakini leo Lissu yule yule anataka aina ya gari zilezile za bei kubwa ile ile na ulaji mkubwa wa mafuta ule ule aliokuwa anauopinga yeye na chama chake miaka kadhaa iliyopita. Hapa ndipo watanzania wameamua kumgomea na kumwambia kwa matendo kuwa wao siyo nyumbu au mazuzu.

Pili Lissu ni lazima atakuwa amejifunza kuwa hana watu wanaomuunga mkono na kuweza hata kuchagulika kuwa Rais wa Nchi hii. Unajuwa Lissu alikuwaga anajiona kama ni mtu mkubwa sana na mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania na anayeweza kuzungumza lolote lile na watanzania wakakubali tu kama wajinga.lakini amejionea Mwenyewe kuwa hana watu hata elfu kumi tu nchi nzima yenye mamilioni ya watu hii ndio sababu mpaka sasa hajafikisha watu hata elfu saba tu waliomchangia pesa.

Tatu Lissu amejifunza kitu kuwa Mheshimiwa Mbowe ni maarufu na anakubalika sana ndani ya CHADEMA kuliko mwanachama mwingine yeyote yule,yaani wa kawaida na hata miongoni kwa viongozi.hii ni kwa kuwa kama angeomba mchango kwa wanachama wake na watanzania wote kwa ujumla naamini angekuwa amefikisha mamilioni ya pesa mpaka sasa. Ushahidi wa hili ni pale alipoamua kuwaomba marafiki na watu mbalimbali anaofahamiana na kumchangia pesa kwa ajili ya kkkt .ambapo Mheshimiwa Mbowe akikusanya mamilioni ya pesa ambapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa alichangia takribani Millioni 150.

Tatu Lissu amejifunza kutodharau taasisi na kujiona upo juu ya taasisi.lissu alianzisha michango hiyo kivyake vyake tu kana kwamba alikuwa anataka kupeleka ujumbe kwa chama kuwa yeye ni mkubwa na ni taasisi ndani ya taasisi na kwamba anaweza kufanya chochote kile na akafanikiwa.badala yake imekuwa kinyume na mpaka sasa anatoa jasho kwelikweli kupata michango ambapo hata hivyo hali bado ni mbaya sana huku wenzake wakiendelea kumchora tu na kumuangalia akipuyanga.

Nne Lissu amejifunza kushirikisha wenzake.lissu alikosea sana kujianziashia tu jambo bila hata kumshirikisha mwenyekiti wake walau akampa hata baraka tu na kuonyesha hadharani kumuunga mkono.lakini yeye Lissu kwa tamaa zake,ubinafsi na kujiona kuwa yeye ni mkubwa na ni taasisi ndani ya taasisi akajiendea kichwa kichwa tu kwa kujiaminisha kuwa yeye ndio chama na mwenyekiti kimvuli wa CHADEMA.

Tano Watanzania wamepelekea ujumbe kuwa wao wapo huru katika Taifa lao na kwamba hawawezi kumchangia pesa kwa ajili ya kununua gari la kifahari kwa matumizi yake binafsi . watanzania wapo tayari kuchangia maendeleo yao kama vile ujenzi wa shule, zahanati,kituo cha Afya,n.k.lakini siyo kumchangia mtu gari la mamilioni la kupanda yeye na kwenda kuwatembelea akiwa kwenye kiyoyozi watanzanua anaowaita ni masikini .si bora anasema anataka gari la hata millioni 40?

Uzalendo gani wa kutaka gari la kifahari na bei kali kwa michango ya watu unaosema ni maskini wa kutupwa?

Ngoja niishie hapa kwanza nakuja kuendelea.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
utateseka sana michango bado inaendelea japo huna figure kamili wivu tu unakutesa
 
na bila shaka atakua amejifunza kwamba tabia ya ubinafsi na kuomba kuchangiwa vitu mbalimbali mara kwa mara, si nzuri na watu huchoka...

yes ni kweli alipata na matatizo,
alichangiwa matibabu, alifadhiliwa matibabu hayohayo na majamaa ya ng'ambo, alichangiwa mambo mengi tu na diaspora.

hivi sasa amepona ni nzima wa afya, ana nguvu ya kazi amelipwa gharama za matibabu, mafao na marupurupu mbalimbali kwa kipindi alichokua mbunge, na kwahivyo ilifaa afahamu anahitaji gari la kutumia, kuliko fedheha hii anayopitia hivi sasa ya kugomewa kuchangiwa anachotamani kukipata 🐒
 
Huwa unawashawashwa na michango ya Lissu. Haipiti wiki unaleta uzi wenye muelekeo ule ule.

Yaani unakuwa na wivu wa kipuuzi mno. Kama unaona Lissu anafaidi sana, na wewe tangaza unawashwa kinyeo wapatikane watu wa kukuchangia, uletwe kwangu nikutibu.
 
utateseka sana michango bado inaendelea japo huna figure kamili wivu tu unakutesa
Nitaonaje wivu? Michango mnachanga mwaka mzima? Huoni watu wamempuuza Lissu na kugoma kumchangia? Kama watu laki moja tu wangeamua kutoa elfu moja moja maana yake mpaka sasa angekuwa amekusanya millioni mia moja.

Mpaka hapo Huoni Lissu kapuuzwa ?
 
Huwa unawashawashwa na michango ya Lissu. Haipiti wiki unaleta uzi wenye muelekeo ule ule.

Yaani unakuwa na wivu wa kipuuzi mno. Kama unaona Lissu anafaidi sana, na wewe tangaza unawashwa kinyeo wapatikane watu wa kukuchangia, uletwe kwangu nikutibu.
Naona umepaniki na kufura kwa hasira kali kama mgonjwa baada ya kuona watanzania wamegoma kuchangia habari za ujinga wa kununua gari kwa ajili ya gari la kifahari bila sababu ya msingi.

Kama mnapenda gari la kifahari toeni hela zenu mfukoni mkanunue.siyo kupenda mteremko na dezo hapa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi.
Atakuwa amejifunza kuwa wazalendo wa nchi hii wana hali ngumu sana ya maisha, wanapigika kwelikweli na uongozi ulio madarakani hata michango midogo kama hii inawashinda fedha yote inaibiwa na mafisadi kwa kuwa hakuna serikali serious madarakani inayowafanya wawe na maisha mazuri!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi.

Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama anavyowachukulia.hii ni kwa kuwa tulikuwa tunashuhudia CHADEMA ikipinga sana na kukosoa sana manunuzi na matumizi ya magari ya bei kubwa.hata pale watu walipowajibu kuwa magari hayo ni kutokana na uimara wake na usalama pamoja na kuwezesha kutembea umbali mrefu pasipo shida bila kujalisha aina ya barabara,lakini wao CHADEMA walipinga sana manunuzi na matumizi yake.

Lakini leo Lissu yule yule anataka aina ya gari zilezile za bei kubwa ile ile na ulaji mkubwa wa mafuta ule ule aliokuwa anaupinga yeye na chama chake miaka kadhaa iliyopita. Hapa ndipo watanzania wameamua kumgomea na kumwambia kwa matendo kuwa wao siyo nyumbu au mazuzu.

Pili Lissu ni lazima atakuwa amejifunza kuwa hana watu wanaomuunga mkono na kuweza hata kuchagulika kuwa Rais wa Nchi hii. Unajuwa Lissu alikuwaga anajiona kama ni mtu mkubwa sana na mwenye ushawishi mkubwa kwa watanzania na anayeweza kuzungumza lolote lile na watanzania wakakubali tu kama wajinga.lakini amejionea Mwenyewe kuwa hana watu hata elfu kumi tu nchi nzima yenye mamilioni ya watu, hii ndio sababu mpaka sasa hajafikisha watu hata elfu saba tu waliomchangia pesa.

Tatu Lissu amejifunza kitu kuwa Mheshimiwa Mbowe ni maarufu na anakubalika sana na mwenye ushawishi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuliko mwanachama mwingine yeyote yule,yaani wa kawaida na hata miongoni kwa viongozi.hii ni kwa kuwa kama Mh Mbowe angeomba mchango kwa wanachama wake na watanzania wote kwa ujumla, naamini angekuwa amefikisha mamilioni ya pesa mpaka sasa. Ushahidi wa hili ni pale alipoamua kuwaomba marafiki na watu mbalimbali anaofahamiana nao na kumchangia pesa kwa ajili ya kkkt .ambapo Mheshimiwa Mbowe alikusanya mamilioni ya pesa, ambapo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa alichangia takribani Millioni 150.

Tatu Lissu amejifunza kutodharau taasisi na kujiona yupo juu ya taasisi. lissu alianzisha michango hiyo kivyake vyake tu kana kwamba alikuwa anataka kupeleka ujumbe kwa chama kuwa yeye ni mkubwa na ni taasisi ndani ya taasisi na kwamba anaweza kufanya chochote kile na akafanikiwa.badala yake imekuwa kinyume na mpaka sasa anatoa jasho na kuhenyeka kwelikweli kupata michango,ambapo hata hivyo hali bado ni mbaya sana huku wenzake wakiendelea kumchora tu na kumuangalia akipuyanga.

Nne Lissu amejifunza kushirikisha wenzake.lissu alikosea sana kujianziashia tu jambo bila hata kumshirikisha mwenyekiti wake walau akampa hata baraka tu na kuonyesha hadharani kumuunga mkono.lakini yeye Lissu kwa tamaa zake,ubinafsi na kujiona kuwa yeye ni mkubwa na ni taasisi ndani ya taasisi akajiendea kichwa kichwa tu kwa kujiaminisha kuwa yeye ndio chama na mwenyekiti kimvuli wa CHADEMA.

Tano Watanzania wamepeleka ujumbe kuwa wao wapo huru katika Taifa lao na kwamba hawawezi kumchangia pesa kwa ajili ya kununua gari la kifahari kwa matumizi yake binafsi . watanzania wapo tayari kuchangia maendeleo yao kama vile ujenzi wa shule, zahanati,kituo cha Afya,n.k.lakini siyo kumchangia mtu gari la mamilioni la kupanda yeye na kwenda kuwatembelea akiwa kwenye kiyoyozi watanzania anaowaita ni masikini .si bora angesema anataka gari la hata millioni 40?

Uzalendo gani wa kutaka gari la kifahari na bei kali kwa michango ya watu unaosema ni maskini wa kutupwa?

Mwisho Lissu amekidhalilisha sana CHADEMA kwa kujuwa au kutokujua ,kwa sababu ameonyesha kuwa chama hakipo makini mpaka kufikia hatua ofisi ya makamu mwenyekiti haina gari la kufanyia shughuli za chama.japo hapa inawezekana gari zikawepo lakini ikawa ni ubinafsi na tamaa ya Lissu kutaka gari la kifahari na la mamilioni ya pesa kwa starehe zake binafsi.ikumbukwe kuwa gari itakayonunuliwa ni mali yake binafsi na yenye majina yake mwenyewe na siyo mali ya ofisi ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA au chama.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Ccm wakiomba michango wanapata kutaka Kwa watu ambao wanarun taasisi kubwa na wanatoa because ya benefit zao flan flan

Mtu mwingine yoyote ambae sio wa ccm ofcorse lazima atapata changamoto kama ambazo lisu anapata so ni kawaida

Ccm hamna wanainchi ambao wanaweza kuwachangia hata milion 2 ila mna taasisi ambazo mabosi wanajua wasipotoa Tu wamechinjwa
 
Back
Top Bottom