Wakuu,
Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!
FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.
Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.
Ni kweli. Sijaingia insta ni wiki sasa..so sijui chochote.Acha urongo Mkuu banaπππ
Hawa polis wanamuongezea jamaa umaarufu tuuWakuu,
Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!
FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.
Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.
Point yako ni ipi hasa? Kwamba wafuasi wa Lissu ni wepesi kusahau kiasi hicho kwamba wameishasahau kuwa Lissu kakamatwa kwasababu ya Manara na Zaylissa?Wakuu,
Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa motooooo!
FOCUS! FOCUS Watanzania, turudi kwenye mambo ya maana yanayoathiri maisha yetu, uhuru wetu na uchumi wetu. Kunapotokea uonevu Watanzania bila kijali chama chako, ama kama wengine wenye hatuna chama piga kelele, kemea unyanyasaji na dhuluma inayofanywa kwa wananchi.
Leo inatokea kwa Lissu kesho anashikwa mtu wako wa karibu au worse wewe mwenyewe, muda wa kupiga kelele ni sasa. Huo umbea weka pembeni kwa sasa. Tusisahau ripoti ya CAG itaenda bungeni soon, ni muda wa kupigania maslahi yetu, muda wa kuonesha nguvu ya umma.
Sina pesa ya kumlipa mwanasheriaWakuu,

N kasheshe manara kaz anayoSijasikia habari za zaylisa umefanya nikazisake, umenitoa kwenye focus
Uko JF una wasiwasi gani?ππ Mkuu Maxence Melo atakuwekea kama watano hiviπππSina pesa ya kumlipa mwanasheria
Hawa polis wanamuongezea jamaa umaarufu tuu
max mwenyewe ni mtumishi wa serikali wizara ya habari na mawasiliano. Hakuna aliyesalama ktk mitandaoUko JF una wasiwasi gani?ππ Mkuu Maxence Melo atakuwekea kama watano hiviπππ
Uko JF una wasiwasi gani?ππ Mkuu Maxence Melo atakuwekea kama watano hiviπππ
Zay kamfanyaje manara?N kasheshe manara kaz anayo
kwani lini kulikuwa na siasa za vurugu. Ulitegemea wafanyeje?Sijasikia habari za zaylisa umefanya nikazisake, umenitoa kwenye focus