PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtu na akili timamu uanze kujadili mambo ya manara na mke wake huyo basi kichwani utakuwa na shida

Ova
 
Unasema watu wa focus kwenye mambo muhimu au unasema suala la Manara limezushwa ili kukabiliana na habari za Lissu tu, si suala la uhalisia?

Hayo ni mambo mawili tofauti.

Kwa nini mnafikiri kitu kimoja kikitokea dunia nzima inatakiwa kusimama kukipisha?

Can we chew gum and walk?

Wanaotaka umbea wao waendelee nao, na wanaotaka mapinduzi yao waendelee nayo.

Haina maana kumlazimisha mtu anayetaka umbea akatae umbea wake afuate habari za mapinduzi ambazo hata hazielewi.
 
Usitufanye watu wajinga bana hii comment from you unajiabisha bana! Kwamba watu hawaelewi yanayotoekea, hawaelewi wizi na mambo ya kipuuzi yanayofanywa? Comments tu za kwenye huu uzi zinakuumbua? Hakuna coincidence!
 
Nakuambia hivi.

Kama unasimamia demokrasia, unatakiwa uelewe kuwa watu wasiotaka kufuatilia siasa, wanaitaka kufuatilia umbea, wana haki hiyo.

Ukiwalazimisha wasifuatilie umbea, wafuatilie siasa, unawanyima haki yao ya kikatiba na kibinadamu ya kujiamulia mambo yao.

Kufuatilia mambo ya siasa ni jambo la utashi wa mtu, si jambo la kulazimishwa.

Na ukitaka kuwalazimisha watu, wanaweza hata kujifafaragua kuwa wamekusikia na kukubaliana nawe, wakati wanakuchora tu hata wakija kwenye mazungumzo hayo wanakuona kituko.

Huelewi wapi?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwahiyo kuwaambia watu wafocus wamelazimishwa, narudia tena usitufanye wajinga! Ni ama huelewi context ya Tanzania with how mambo yanfanywa (si kwa bahati mbaya) ama makusudi!
 
Kwahiyo kuwaambia watu wafocus wamelazimishwa, narudia tena usitufanye wajinga! Ni ama huelewi context ya Tanzania with how mambo yanfanywa (si kwa bahati mbaya) ama makusudi!
Bado hujaelewa kuwa wewe ndiye unawafanya watu wajinga kwa sababu tu wameamua kutofuatilia unachotaka wewe wafuatilie.
 
Sio mgeni wadau wa jamiiforum linapotokea fukuto la kushindwa Hoja CCM wanaanza kutumia hawa watu maarufu kwenye matukio.
Ukiangalia ni jinsi ya kuzimisha ajenda za No reform No election ambazo kwa sasa zinashindana kwenye mtandao wa kijamii.
 
Acha zako Tukio la Simba Kufuzu nusu lilitosha.

Ya Manara mbona ya Kawaida mnoo
 
Sio mgeni wadau wa jamiiforum linapotokea fukuto la kushindwa Hoja CCM wanaanza kutumia hawa watu maarufu kwenye matukio.
Ukiangalia ni jinsi ya kuzimisha ajenda za No reform No election ambazo kwa sasa zinashindana kwenye mtandao wa kijamii.
Hawana akili
 
Na hakika imelipa kweli kweli kwani kwa UTAFITI wangu ni kwamba Suala la Haji Manara na Mkewe Zaylisa linafuatiliwa kwa 98% Watanzania Mitandaoni 24/7 ila suala / sakata la Kukamatwa kwa Tundu Lissu linafuatiliwa kwa 2% tu na Watanzania Mitandaoni 24/7 Sisi.

Hongereni sana
 
Wajinga kama wewe na wasiojua kuwa cdm ni ccm ndiyo wanalifuatilia swala la manara na zaylisa ,sisi wenye akili tunatambua wao siyo wa kwanza kufanya mapenzi ya kijinga hapa duniani,kama mbwa naye anampenzi na wanaachana sembuse manara na zaylisa??

Tafuta kazi za kufanya siasa na mapenzi ni utumwa wa kifikra kwani wanaonufaika ni wengine na mnaoumia ni wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…