Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Bado Tupo!
Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao.
Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake ilikuwa ICU. Chenga nyiiingi kwa Lisu Mpaka kamchenga Kipa.
Alafu mwishoni kabisa ati anatoa Pass kwa Lema ndiye amalizie.
Unajua kwenye Timu hata kama mnaumoja vipi lakini lazima mjuane vizuri hasa maeneo Hatari na nyakati Hatari kama kupiga Penati na kufunga magoli.
Soma Pia: Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA
Kwangu Mimi Lema sidhani kama ni mfungaji mzuri Mpaka apewe assist kama hii.
Ni wazi Mchezo hautabiriki tena. Lolote laweza kutokea. Kupaisha kupo njenje. Au Lema kujiangusha na Kipa kudaka Mpira au kunyang'anya.
Haya!
Lissu hapa amecheza fyongo