Lissu amekosea kwenye Final touch. Kumchagua Lema haukuwa uamuzi sahihi

Lissu amekosea kwenye Final touch. Kumchagua Lema haukuwa uamuzi sahihi

Sure! Wachaga hawaaminiki sana,chances are;Lema ni Trojan horse tu kwa Lisu ila yupo na homeboy wake!

Ila ndiyo hivyo tena acha nilale!
 
LEO MAKENGEZA ANAAIBISHWA.

TAYARI MWAKAJOKAAA WAJUMBE KWA UMOJA WAO WAMEMTEUA KUA MWENYEKITI WA UCHAGUZI 🤣🤣🤣🤣

MATATA TIMU MBOWEE KAPIGWAAA HAHAHAHAHAH
 
Kushinda kwa Mbowe ni kukipasua chama, Mbowe sio rahisi kuwaamini tena akina Lema, Lissu na Heche.

Zaidi ya 80% ya wajumbe wanahitaji mabadiliko ndani ya Chama, hapo bado hujatugusa Watanzania wapiga kura ambao tungetanani kumwona Lissu akishika hatamu ya kuongoza Chama.

Kushinda kwa Mbowe ni kutangaza kushindwa kwa Chadema ktk uchaguzi mkuu mwaka huu. Kuanzia ngazi za Udiwani hadi Ubunge.
Kuna kitu nyuma ya akili kinaniambia kuwa wahuni wameamua kumtapeli Abduli na mama yake!
 
Bado Tupo!

Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao.

Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake ilikuwa ICU. Chenga nyiiingi kwa Lisu Mpaka kamchenga Kipa.

Alafu mwishoni kabisa ati anatoa Pass kwa Lema ndiye amalizie.

Unajua kwenye Timu hata kama mnaumoja vipi lakini lazima mjuane vizuri hasa maeneo Hatari na nyakati Hatari kama kupiga Penati na kufunga magoli.

Soma Pia: Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

Kwangu Mimi Lema sidhani kama ni mfungaji mzuri Mpaka apewe assist kama hii.

Ni wazi Mchezo hautabiriki tena. Lolote laweza kutokea. Kupaisha kupo njenje. Au Lema kujiangusha na Kipa kudaka Mpira au kunyang'anya.

Haya!
Lissu hapa amecheza fyongo
Kwamba kwenye uchaguzi wakala ana mbinu za kumalizia assist?
 
Wachaga huwa hawatupani, mchaga kwa mchaga huwa option ni mchaga mwenzie kwanza.

Usimuamini mchaga hasa kwenye issue inayomhusu mchaga mwenzie.

Kusudi langu sio ukabira, nilichokusudia ni ukweli na uhalisia.
 
Mbona Team Lisu ndio wanawasiwasi kuliko team zingine.

Kura wanaibiwa wao hata uchaguzi haujafanyika.

Ndio maana nasema, bora Lisu aondoke na genge lake chadema ibaki salama.
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Back
Top Bottom