Lissu amekosea kwenye Final touch. Kumchagua Lema haukuwa uamuzi sahihi

Acha propaganda.
 
Lema ni mtu anayeaninika sana.
Ondoa shaka
 
Kinachonifurahisha mimi lema kwa macho yake anaona msaliti mwenziwe anaangukia pua
 
U have spoken my mind ni kama vile Mbowe na Lema wame play an intelligence Trick to Lissu.

Mmachame nduguye mmachame
 
U have spoken my mind ni kama vile Mbowe na Lema wame play an intelligence Tru to Lissu.

Mmachame nduguye mmachame
Wengi walisema CHADEMA ni chama cha wachaga. Sasa hivi wachaga ndiyo wako mbele kumkataa Mbowe na kutaka chama kiongozwe na mnyaturu na watu wengine wasio wachaga. Wewe umeathirika na kitu kinachoitwa ''confirmation bias''. Hii hali huathiri kila binadamu kwa wakati tofauti kulingana na ubongo wako ulilishwa nini tangu unakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…