Lissu amekosea kwenye Final touch. Kumchagua Lema haukuwa uamuzi sahihi

Timu Lissu bwana. Hakuna kuaminiana kwasababu wote ni wahuni wanaoangalia fursa zaidi ya ustawi wa chama! Ahahahahaha!!
 
Lema bado ni mtu mwenye ushawishi kwa siasa za Kaskazini kwaio kuwepo pale kuna kura za wana Kaskazini wanaomkubali lema au walikua katika harakati na Lema watavutika kupiga upande alipo Lema.
 
Shida yako ni huo UKABILA very primitive
 
Na ndiyo kusudi la CCM hadi kuwekeza mabilioni ili ashinde Mbowe na Chadema ife.
 
Yeah, Lema anaweza kuwa alijipenyeza kwenye kambi ya Lissu kimkakati.

Lissu angemtafuta binamu yake wa Ikungi huko.
 
Tuwe na imani kama aliyonayo Lissu
 


Ku-defend
 
Kwa hiyob
Kwa hiyo team Lisu hamtaki democracy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…