japo lema ni bloody wa mbowe, ila sidhani kama ni undercover agent wa mbowe kwenye timu ya lissu, kwenye hii vita naamini lema kachagua mabadiliko badala ya undugu, ila akimsnitch lissu atakua kajitafutia laana maana lissu atakisanua na lema hataaminika tena.
naamini kazi ataifanya vizuri