Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Hiko chuma hata upige magumashi ukifunge ukiachie akitoka ataenda kukata rufaa Africa huyo ni Simba kweli
 
Kwanini wamshawishi wamwachie alafu aondoke nchini.. wanaogopa kitu gani akibaki hapahapa huyu lisu kuna kitu gani anachojua kiasi cha watawala na wenye mamlaka kumwogoba kiasi cha kumzushia na kumpa hila mbaya ya kesi ya uhaini.
Kama haya uliyoeleza ni kweli basi Rais wetu amezungukwa na watu wasio smart kabisa au ni watu wabinafsi kupitiliza na hawajali chochote kuhusu nchi na wananchi wenyewe.
Very sad.
 
Dulah anaujua fresh msimamo wa Lissu, ameshindwa kweli kuwasanua wenzie hapo watapoteza muda?
 
Huyu mama siku hizi hata nikiiona tu picha yake kwenye Tv, nabadilisha channel. Kiukweli nimetokea kumchukia sana. Na hii yote ni kwa sababu ya haya anayo wafanyia Watanganyika.
Mimi hakuna kipindi kinaniumiza kama napita zangu town mara unaona bango kubwa la huyu mama yenu yaani nakunja shingo fasta kujitoa kuliona sijui kama sitakuja kupata matatizo ya shingo maana u turn ninayoifanya ni hatari.
 
Kama iko hivyo leo angelisema mahakamani jambo hilo, Lissu hana kawaida ya kuficha njama za uovu na maovu
Lissu siyo mjinga wa kuongea maneno ambayo hawezi kuyaambatanisha na solid evidence, kumbuka maneno ambayo ni kuongea tu naye ni mwanasheria anajua vizuri umihimu wa solid proofs ulivyo muhimu labda kama angekuwa na access ya kuyarekodi au ingekuwa yamefanyika kwa mfumo wa maandishi.
 
Ila mwamba lisu anaroha ya aina yake kumbe wanamapinduzi na wanaharakati wa ukweli ndio uwa hivi.. mimi kwakeli mapema sana ningekunja changu nalala mbele kutetea mabumunda ya tanzania inahitaji moyo sana watu kama maiti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…