Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

Wanachofikiria wao nikuitafuna Nchi tu na vile tuko usingizini😭😭😭😭. Naumia sana ni basi tu.
 
Mungu amenionesha ipo siku karibu ,kuna watu watakuja vuliwa nguo na kuchapwa viboko adharani
 
Kesi ya uhaini, rais anauwezo wa kumsamehe mtu?
Yes, Rais wa JMT, kupitia DPP, ana uwezo wa kuingilia kesi yoyote ya jinai, ikiwa hatua yoyoyte kabla ya hukumu, kupitia mamlaka ya DPP yanaoitwa Nolle!. Hata kesi ya Mbowe, ni rais aliifuta, na Mbowe alipoachiwa tuu, kabla hata ya kwenye kanisani kushukuru Mungu, au kwenda nyumbani kujiunga na familia yake, alianza kwa kupitia Ikulu kumshukuru mama!.

Akaambiwa akaangalie hali ya chama chake kinahitaji nini, akarejea Ikulu na list, mama Akatoa!. Chadema walishindwa kuitisha kikao cha Baraza Kuu, kutokana na ukata, wakapewa!. Mbowe akaomba kutoka kidogo nje kupunga upepo, mama akatoa!.

Siku ile namshauri Lissu hili jambo,
View: https://youtu.be/GNOixZFdUJM?si=VJZ3hhr0-KSgBn_X
P.
 
Haaaaaaaaa,tangu lini wakwe zangu wachaga wakaacha kupiga dili kwa kila fursa.
Umesahau kumalizia jumba la Machame"................Mama akatoa"
 
Baada ya Samia kujitangazia ushindi!

Kamwe Samia hataweza kuwa na utawala tulivu muda wake wote kwenye madaraka atakayo nyakuwa kijambazi.
Ninapata tabu kufikiri ni namna gani anaweza kuongoza kwa miaka mitano!!!
 
Ninaposema unazo akili za mnyama, elewa maana yake ni nini? Kesi ya uhaini hapo ipo wapi; na hiyo hukumu ya kesi ya uhaini itatokana na nini? Huwezi kutumia akili?
Kwahy anahukumiwa kwa kosa gn?
 
Hilo la kuwachanjia nalo wangetafuta namna ya kumdhibiti ili asiwageuke. Mfano kumfanya aonekane kwenye makaratasi kuwa anao uraia pacha.
 
Baada ya Samia kujitangazia ushindi!

Kamwe Samia hataweza kuwa na utawala tulivu muda wake wote kwenye madaraka atakayo nyakuwa kijambazi.
Na wewe keyboard warriors kwa kujipa umuhimu feki hujambo
 
Reactions: Tui
Ninapata tabu kufikiri ni namna gani anaweza kuongoza kwa miaka mitano!!!
Kwanza atakuwa mwovu zaidi kuliko alivyo kwisha onyesha katika hii miaka ya kuokota barabarani.
Ataivuruga sana nchi huyu, na wananchi wenyewe watavurugika sana. Kuibuka kwa makundi hatari ndani ya jamii, yakihatarisha usalama wa makundi mengine halitakuwa jambo la kushangaza.
 
Wewe umeiona wapi kesi ya uhaini?
Watu mmepewa akili na Mwenyezi Mungu muitumie vizuri;. Sasa jiulize mwenyewe, kwa nini hukuumbwa ukawa ng'ombe au kondoo, kama huwezi kuwa na akili za kibinaadam!
Kwani wewe na ng'ombe mna tofauti gani? Wote ni mammals
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…