Lissu ametoa wapi mamia ya mamilioni kugharamia mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa kifahari wa Mlimani City?

Mtasema sana. Lkn Lissu anaendeshwa na Msigwa kama ndege isio na rubani
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Kukodi ukumbi Mlimani City ni mamia ya mamilioni?
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Wewe masikini mpaka akili, Kama wewe hauna hela sio kila mtu ni masikini, sio bure umerogwa, tafuta hela mtoto wa kiume utaolewa. Kwa akili yako ndogo ya SAUT unadhani Lisu bank atakosa chini ya 3B? jinga wewe
 
3B ya konyo
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Kwani ume wasiliana na Bw. Abdul kakuhakikishia kuwa yeye hahusiki, kabla ya kuleta mada hapa!
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Kuna za kunyapia nyapia kwamba Msigwa ndiye katoa mzigo kumchangia rafiki yake - ila si dhambi maana wametoka naye mbali.
 
Ukiisikiliza Speech ya Lissu alisema wazi kuwa kuwa Wafadhili wamesaidia ule mkutano wake.
Kwasasa wameshatafuta kisingizio cha kudai Ubaya w Lisu kuwa ni Msigwa kila neno utasikia msigwa kipindi cha Zito ilikuwa neno kuu Msaliti nyumbu wote lilokuwa aliwakauki sasa kiitikio ndio icho Msigwa adi Lisu anyooshe mikono juuu!!!!!
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Huo ushamba

Ukimbu mlimani kwa watu wale hauzidi mil 6

Hata chakula hakuna pale kwahiyo hakuna gharama

Ikizidisana mil 15 yaani posho za wageni

Sasa mil -15 anashindwa ipata?
 
Mimi mganguzi ndiye niliyeghalamia mkutano wote kwa hiyo kama maswali niulizeni mie sio lissu
 
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
Kwani wewe ndio huwa unamuhidumia?
Yeye hafanyi kazi?
 
Mlimpa nyinyi ccm maana ndio mliona uwezo wa kugharamia hayo.
 
Mnamuharibia kada wenu msigwa mjue? Au keshatumika ss muda ushafika wa kumtrash?
 
Back
Top Bottom