Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Ule mkutano ni 100m? Uko serious kweli?
Hawa jamaa hawaijui 100m mazee! Wasemehe bure tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule mkutano ni 100m? Uko serious kweli?
Mbowe anaweza asiwe mwenyekiti ,ila lazima atabaki kama kiongozi Mwandamizi ndani ya chama, by the way chama bado kinamuhitaji Mbowe , sijasema lissu HafaiMbowe hana jipya la kuongeza Chadema. Akubaliane na hali halisi, apumzike.
Hawa Diaspora wengi kule ni wanafiki, lengo la kuchangia hili ni nini , je mara ya mwisho kuchangia ccm katika chaguzi zao za ndani ni lini kama sio unafiki?Diaspora wamechanga na hata mimi nimechangia
Lovely Nifah japo nakutania saana wewe na jasusi.Nafikiri ungeanza kuhoji kwanza alitoa wapi mamilioni ya kufanya sherehe ya harusi yake Hyatt Regency Kilimanjaro (Kempinski)
Na ni zamani hizo... Kama hujui maisha ya mtu usikurupuke, Lissu sio masikini mwenzio.
ati dada,Nafikiri ungeanza kuhoji kwanza alitoa wapi mamilioni ya kufanya sherehe ya harusi yake Hyatt Regency Kilimanjaro (Kempinski)
Na ni zamani hizo... Kama hujui maisha ya mtu usikurupuke, Lissu sio masikini mwenzio.
Kubweka nako kunahesabiwa kama sauti nasibu?Hawa Diaspora wengi kule ni wanafiki, lengo la kuchangia hili ni nini , je mara ya mwisho kuchangia ccm katika chaguzi zao za ndani ni lini kama sio unafiki?
Lissu awe makini na Diaspora wasije muingiza cha kike , ieleweke lissu ata akiama leo na kugombea urais kupitia chama kingine , ushawishi alionao kwa sasa atashangaa namna utakavyoporomoka, kama kuna watu wanamwanisha kwamba bila yeye chadema haipo ajaribu ,niiteni mbwa nipo pale.
Chadema kwa mda mfupi tu ilimfanya Lowassa kuwa maarufu mara dufu, achana Chadema kabisa
Atakuwa mshauriMbowe anaweza asiwe mwenyekiti ,ila lazima atabaki kama kiongozi Mwandamizi ndani ya chama, by the way chama bado kinamuhitaji Mbowe , sijasema lissu Hafai