Lissu ametoa wapi mamia ya mamilioni kugharamia mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa kifahari wa Mlimani City?

Mbowe hana jipya la kuongeza Chadema. Akubaliane na hali halisi, apumzike.
Mbowe anaweza asiwe mwenyekiti ,ila lazima atabaki kama kiongozi Mwandamizi ndani ya chama, by the way chama bado kinamuhitaji Mbowe , sijasema lissu Hafai
 
Diaspora wamechanga na hata mimi nimechangia
Hawa Diaspora wengi kule ni wanafiki, lengo la kuchangia hili ni nini , je mara ya mwisho kuchangia ccm katika chaguzi zao za ndani ni lini kama sio unafiki?

Lissu awe makini na Diaspora wasije muingiza cha kike , ieleweke lissu ata akiama leo na kugombea urais kupitia chama kingine , ushawishi alionao kwa sasa atashangaa namna utakavyoporomoka, kama kuna watu wanamwanisha kwamba bila yeye chadema haipo ajaribu ,niiteni mbwa nipo pale.

Chadema kwa mda mfupi tu ilimfanya Lowassa kuwa maarufu mara dufu, achana Chadema kabisa
 
Nafikiri ungeanza kuhoji kwanza alitoa wapi mamilioni ya kufanya sherehe ya harusi yake Hyatt Regency Kilimanjaro (Kempinski)
Na ni zamani hizo... Kama hujui maisha ya mtu usikurupuke, Lissu sio masikini mwenzio.
Lovely Nifah japo nakutania saana wewe na jasusi.
 
CHADEMA HAIFI LISSU NI SUPER NA MBOWE NI SUPPER NYIE MACCM MJUE KABISA LISSU NA MBOWE HAWAGAWANYIKI NA ZAIDI ITAZALIWA CHADEMA IMARA SIO YA MFANO WA AFRIKA.
 
Nafikiri ungeanza kuhoji kwanza alitoa wapi mamilioni ya kufanya sherehe ya harusi yake Hyatt Regency Kilimanjaro (Kempinski)
Na ni zamani hizo... Kama hujui maisha ya mtu usikurupuke, Lissu sio masikini mwenzio.
ati dada,
Lakini mbona ana tabia ya kuombaomba sana kuchangiwa vitu mbalimbali ndani na nje ya nchi, huyo ambae sio maskini?🐒
 
Watu tunajitoa kwa ajiri ya Chamq changamoto nyingi zinatukuta

Mwisho wa siku hakuna. Faida acha tumuunge mkono lisu huenda akatuelewa
 
Hawa Diaspora wengi kule ni wanafiki, lengo la kuchangia hili ni nini , je mara ya mwisho kuchangia ccm katika chaguzi zao za ndani ni lini kama sio unafiki?

Lissu awe makini na Diaspora wasije muingiza cha kike , ieleweke lissu ata akiama leo na kugombea urais kupitia chama kingine , ushawishi alionao kwa sasa atashangaa namna utakavyoporomoka, kama kuna watu wanamwanisha kwamba bila yeye chadema haipo ajaribu ,niiteni mbwa nipo pale.

Chadema kwa mda mfupi tu ilimfanya Lowassa kuwa maarufu mara dufu, achana Chadema kabisa
Kubweka nako kunahesabiwa kama sauti nasibu?
 
Back
Top Bottom