Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe kabla ya uenyekiti aliwahi kushika nafasi gani kubwa ya kiuongozi, kuweza kupata uzoefu wa kuongoza Cdm kwa muda mrefu?Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu ya uongozi na amefanyia maendeleo gani?
Maana nafasi ya Mwenyekiti ni kubwa.
Mbowe kabla ya uenyekiti aliwahi kushika nafasi gani kubwa ya kiuongozi, kuweza kupata uzoefu wa kuongoza Cdm kwa muda mrefu?
Lissu ya uMakamu mwenyekiti.Mwenyekiti BAVICHA
Unataka uniswalishe?Umesali ishaa kweli mkuu?
Anaweza kuongea ya chumbani kwake?Lisu anaweza ongea chochote. Je wewe unaweza?
Ameifanyia nini?Raisi TLS
Hapana .....Unataka uniswalishe?
Alikuwa ni mrithi wa biashara za familia (Ikiwemo Chadema) na mpaka sasa hivi zinafanya vizuri hadi wavimba macho akina Lissu ambao hawajui chochote eti wanadai nao wanaweza kusimamia biashara ambazo hata familia zao hawakuwahi kuota kuzisimamia.Mbowe kabla ya uenyekiti aliwahi kushika nafasi gani kubwa ya kiuongozi, kuweza kupata uzoefu wa kuongoza Cdm kwa muda mrefu?
Kawahi kushika nafasi gani ya juu ktk uongozi yeye kama kiongozi katika Taasisi?Kiongozi ana sababu nyingi za kumuhesabu kuwa kaleta maendeleo,hivyo akili tu ta shule ya msingi inahitajika kuona matunda ya Lisu,tena itakuwa ni hoja dhaifu sana kuzungumzia suala la Uongozi wa Lisu na kutaka kuulinganisha,ni bora kutafuta sababu nyingine za kumsema Lisu lakini siyo kwenye ishu ya Uongozi,Lisu ni mmoja wa Wanasiasa waliofanya makubwa na kuacha alama ua kiuongozi.
Sasa kama maendeleo hayaleti mtu mmoja yeye anataka nini nafasi ya juu?Maendeleonhayaletwi na mtu mmoja
Ndo maana hata leo hii ukiachana na mkeo mnagawana mali hata kama alikua mama wa nyumbani sheria inatambua alikua na mchango wake
Ameshika nafasi ya makamu mwenyekiti, kutokana na kuwa tishio kwa watawala kuliko mwenyekiti wake Mbowe walimchapa risasi nyingi tu, sasa anataka nafasi ya mwenyekiti aweke chama sawa kutukana na hizi nyakati ambazo hutakiwi kucheka na yeyoteLissu amewahi kushika nafasi gani ya juu ya uongozi na amefanyia maendeleo gani?
Maana nafasi ya Mwenyekiti ni kubwa.
Babako amewahi kushika Nafasi Gani???😅🤣🤣🤣🚴🚴🚴Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu ya uongozi na amefanyia maendeleo gani?
Maana nafasi ya Mwenyekiti ni kubwa.