Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu katika taasisi yote ile na ameleta maendeleo gani?

Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu katika taasisi yote ile na ameleta maendeleo gani?

Ameshika nafasi ya makamu mwenyekiti, kutokana na kuwa tishio kwa watawala kuliko mwenyekiti wake Mbowe walimchapa risasi nyingi tu, sasa anataka nafasi ya mwenyekiti aweke chama sawa kutukana na hizi nyakati ambazo hutakiwi kucheka na yeyote
Kwa hivyo alipokuwa makamo ndio akapigwa? 2017 alikua makamo mwinyikiti? Hujui kitu. Lissu Kawa mwenyekiti 2019 hadi 2021 wakati muda wote huo yupo kwa matasha
 
Kwa hivyo alipokuwa makamo ndio akapigwa? 2017 alikua makamo mwinyikiti? Hujui kitu. Lissu Kawa mwenyekiti 2019 hadi 2021 wakati muda wote huo yupo kwa matasha
Swali lako halina mwaka halafu wewe unaleta majibu ya mwaka tukueleweje? Ndio nimekujibu Lissu kashika cheo kikubwa tu Makamu Mwenyekiti, vile vile kutokana na kuwa tishio kwa watawala alipigwa risasi, mimi sijakwambia alipigwa risasi akiwa na cheo gani wala mwaka gani
 
Makamo mwenyekiti sio cheo cha juu chadema, cheo cha juu ni mwenyekiti , any way kaleta maendeleo gani?
 
Makamo mwenyekiti sio cheo cha juu chadema, cheo cha juu ni mwenyekiti , any way kaleta maendeleo gani?
Kwahiyo unataka kusema mtu alieshika cheo cha makamu mwenyekiti ni cheo cha chini? hata Rais Samia alipokuwa Makamu wa Rais watu walijua cheo kidogo, baada ya kufa Rais JPM wakaelewa kuwa makamu wa Rais ni cheo cha juu tu , unataka maendeleo gani wakati wao kazi yao kumsaidia mwenyekiti Mbowe, kwahiyo kwenye kila alicho fanya Mbowe wao wana mchango wao
 
Samia kabla ya hapo alikuwa waziri. Lissu Taasisi gani aliowahi kuiongoza akiwa top leader?
Kwahiyo unataka kusema mtu alieshika cheo cha makamu mwenyekiti ni cheo cha chini? hata Rais Samia alipokuwa Makamu wa Rais watu walijua cheo kidogo, baada ya kufa Rais JPM wakaelewa kuwa makamu wa Rais ni cheo cha juu tu , unataka maendeleo gani wakati wao kazi yao kumsaidia mwenyekiti Mbowe
 
Samia kabla ya hapo alikuwa waziri. Lissu Taasisi gani aliowahi kuiongoza akiwa top leader?
Nimekupa hoja ya makamu Mwenyekiti unaleta habari za Samia kuwa waziri, unajua makamu mwenyekiti maana yake akitokea mwenyekiti kafa yeye ndio anakuwa mwenyekiti unalijua hilo? tuambie kama hajawai kuongoza hizo taasisi kwanini Chadema walimpa nafasi kubwa hiyo?
 
Back
Top Bottom