- Thread starter
- #41
Sema TLS, kaifanyia niniNimekupa hoja ya makamu Mwenyekiti unaleta habari za Samia kuwa waziri, unajua makamu mwenyekiti maana yake akitokea mwenyekiti kafa yeye ndio anakuwa mwenyekiti unalijua hilo? tuambie kama hajawai kuongoza hizo taasisi kwanini Chadema walimpa nafasi kubwa hiyo?