Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtu mstaarabu ni yule anayevumilia hard times hata kama anashutumiwa kwa uwongo! Wewe binafsi HUWEZI kutoa ushahidi wa unachokisema zaidi ya kujazwa ujinga na Mjinga Lissu!
Tatizo lenu CCM imewalea kiwiziwizi na kuwaaminisha kuwa wizi na mwizi ni siri hatakiwi kutajwa hadharani na ndio maana hadi sasa tunaliangamiza taifa hili kwa kuamini kwamba kuwa wasiri kwenye mambo ya hovyo hovyo ndio ustaarabu ndio mana nchi inaingia mikataba ya hovyo kisirisiri na wajinga kama wewe mlio kuzwa kiwiziwizi mnaona sawa tu
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Umelelewa vibaya kwenu wewe.
 
Lissu ana usemi gani kuhusu hii hapa chini
Your browser is not able to display this video.
 
Unajua kama JK ana mjengo Marekani?
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Akiwachapa kwenye mshono mnaita kuropoka. Mnapenda siasa za kubembelezwa bembelezwa, kuitwa wanyonge msiojiweza huku mkiambiea mnapiganiwa kwakua ninyi ni wanyonge.
 
U
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haupokiropoki!".
Unataka kusemaje!
Mtu kusema ukweli ndio sio ustarabu.
 
Yani wewe kwa akili hizi umefika chuo kikuu? Kama ni kweli basi ni msiba kwa Taifa, inabidi tusomeshe watoto vyuo vya nje.
Kwani wewe ni PhD wa miezi 3 hapo parokiani kama Dr Slaa? πŸ˜‚πŸ˜‚

Huko nje ndio wavulana wenu mnaolewa 🐼
 
Mimi nafikiri salama ya Chadema kama chama Cha siasa ni KUMFUKUZA LISSU uwanachama aidha kabla ya uchaguzi ili asiwaharibie chama au baada ya uchaguzi ili wabaki salama baada ya uchaguzi. Sababu Kuu ni kwamba "Mtu mstaarabu haropokiropoki!".
Wabaki salama au waendelee kupokea pesa chafu kama alivyosema Lissu?
 
Lissu ni mkweli, haki na mpenda kufuata Sheria na taratibu.Wanasiasa wengi ni waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…