Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hakuna mahali Ndugai amekosea isipokuwa Ndugai matendo yake maovu ya kishetani ndiyo hicho watu hawamtaki ni mbabe na bunge aligeuza kuwa mali yake binafsiUkiangalia mambo yanavyoenda kuna makundi kadhaa kama ifuatavyo!
i)Kuna wasaka vyeo ndo wanaongoza kumsakama Ndugai bila kutumia mantiki yeyote, kweli kakosea katika kuwasilisha wazo lake sasa tujiulize je hakuna ukweli ndani yake?
ii)Kuna kundi la wana CCM waliotengwa na utawala ulio pita so wapo kujifariji juu ya sakata hili!
iii)Wapo wenye masrahi binafisi na mzozo huu kama Azani Zungu,mnaweza kuona jana katishia kuitisha maandamano ya kuonesha kusikitishwa na matendo ya Ndugai!
Sasa tujiulize micha ya Ndugai kukosea je kwenye kauli yake hakuna ukweli?
WATANZANIA kusema kweli hatujui hata tunachotafuta kundi kubwa la wanafiki na wasaka madaraka liko upande wa Raise Samia hapo naamini upande wa Ndugai upo pia kama mama Samia alivyoainisha juzi hapa!
Lakini kupanda kwa gharama za manisha watu hawana habari.ni kutetea matumbo yao! Ukitizama ongezeko la bei za bidhaa huwezi kumsikia CCM yeyote anaongelea hilo! Wote wanasifu na kuabudu kitu ambacho si kizuri! Uhuru tulipata ni pamoja na kuhoji kimagaubaga!
Kuna msemo alisema Rais wa kwanza wa Kenya kuwa Watanzania ni kama maiti hawawezi kuhoji wao ni ndio mwalimu! Wanapeperusha na upepo kama mabua!