Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Huu mtifuano wa Samia na Job uendelee mpaka ifike hatua wakionana watwangane makofi
Ameeen
Ameeen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu.!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.
Hahahaaa! Yuko pale sana tuWewe umekanyagwa kuliko Lisu?
Kwa nini Lisu kaona hoja kwa Ndugai ila nyie wafuasi mnamshambulia ndugai na kuacha hoja yake?
Hoja ya Ndugai ndio imemfanya mama apanic namna ile!
Tungekuwa na akili tungamuunga mkono Ndugai kama alivyofanya Lisu
Mwambie lisu kuwa bungeni hiyo hoja ilipitishwa rasmiKwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu.!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.
Tundu Lisu si mtu wa visasi, kumbuka hata Sabaya alipokuwa ameshikiliwa kizuizini bila kufikishwa mahakamani alimtetea kuwa anaonewa. Yeye huangalia hoja bila kujali uhusiano wake na aliyeitoa.singida dodoma singida dodoma
Teh teh teh teheheheeeeeeeeeee
Mtu aliyenyimwa haki zake kipindi yupo kwenye shida na huyo huyo wa kanda yake leo anamuona yupo sawa
Hajapata madaraka tuTundu Lisu si mtu wa visasi, kumbuka hata Sabaya alipokuwa ameshikiliwa kizuizini bila kufikishwa mahakamani alimtetea kuwa anaonewa. Yeye huangalia hoja bila kujali uhusiano wake na aliyeitoa.
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu.!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.
Kweli eeeeh,kwa Lissu haitatokea kamwe kwa alichofanyiwa,tusilishane uongoSo wewe kama mtu alikukosea hata akiongea ukweli utaupinga sbb alikukosea?!
Kama ni hivyo utakua na matatizo ya akili
singida dodoma singida dodoma
Teh teh teh teheheheeeeeeeeeee
Mtu aliyenyimwa haki zake kipindi yupo kwenye shida na huyo huyo wa kanda yake leo anamuona yupo sawa
Ukitaka kujua hata huyo Ndugai ni zero brain,kwani hicho anacholalamikia si yeye ndio amekuwa rubber stamp huko Bungeni,si alikipitisha kwa kutumia Kiti chake,sasa analalamikia nn utekelezaji wake?Kwani kukubaliana na hoja ya Ndugai ndio kukubaliana na yote aliyofanya?.
Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu.!
Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku akishika nafasi mbalimbali za uongozi hivyo haiwezekani akawa hajui utaratibu wa wapi pa kuongelea mbali amefanya hivyo kwa sababu kuna jambo.
Mataga mmedondokewa na kitu kizitoTundu anaona mbali kwa maono yake
Usishangae akapatikana mgombea wa chadema kama alivyopatikana 2015
Mungu ibariki Tanzania
Vyovyote iwavyo, kukopa trillioni 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati tena bila ruhusa ya bunge ni jambo lisilokubalika, hili lazima liondoke na mtu!
singida dodoma singida dodoma
Teh teh teh teheheheeeeeeeeeee
Mtu aliyenyimwa haki zake kipindi yupo kwenye shida na huyo huyo wa kanda yake leo anamuona yupo sawa
Wewe kama wewe unaweza kufanyiwa vile alivyofanyiwa yeye halafu ukamtetea mtesi wako kiurahisi rahisi vipe,pelekeni kule ushuzi wenu kuleLissu alimtetea Lebaya Ole Sabaya alipowekwa ndani kwa karibia wiki nzima bila kupelekwa mahakamani, huyo naye alikuwa wa kanda ya kati? . Kwa kifupi kukimbilia hoja ya ukanda ni upungufu wa akili na kufilisika, ungesikiliza hiyo clip usingesema huo ujinga. Kwani mtu alikutendea unyama ndiyo huwezi kumtetea kama anafanyiwa unyama na wengine?
Kama Lisu leo anamuunga mkono Ndugai nitamshangaa na kumdharau kabisa.
Ndugai ndiye aliyekataa Lisu asigharamiwe matibabu na serikali.
Ndugai ndiye aliyemvuwa ubunge kihuni Tundu Lisu, sasa nitashangaa kusikia leo ati Tundu Lisu anasimama na Ndugai, nitashangaa sana.
Ndugai yupo sahihi tatizo ni matendo yake maovu ya kishetani ndiyo maana watu hawampendiMimi nipo na Ndugai toka mwanzo, alipoomba msamaha ndiyo kaharibu.
Ndugai yupo sahihi kuhusu mikopo kama hiyo, yaliyobaki ni ushabiki tu.