Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

Hakuna mahali Ndugai amekosea isipokuwa Ndugai matendo yake maovu ya kishetani ndiyo hicho watu hawamtaki ni mbabe na bunge aligeuza kuwa mali yake binafsi
 
Kwenye msamaha ndo kaharibu kabisa , unamuombaje msamaha huyo mother aisee..!! Unatoa hoja sahihi na yenye nguvu Kwa Taifa af unaenda kuomba msamaha Kwa mkosaji..shame ndungai
 
Ndugai yupo sahihi tatizo ni matendo yake maovu ya kishetani ndiyo maana watu hawampendi
Sasa kwa nini tuhangaike na matendo yake maovu! Ukienda kurina asali huwa hatuhangiki na matendo maovu ya nyuki ya kutuuma sisi tunatizana asali! Hata kwenye hili tusimtizame Ndugai na Undugai wake tutuzame kasema nini?
 
Hakuna mahali Ndugai amekosea isipokuwa Ndugai matendo yake maovu ya kishetani ndiyo hicho watu hawamtaki ni mbabe na bunge aligeuza kuwa mali yake binafsi
Basi wamtoe lakini kama taifa tukumbuke Ndugai atatoka lakini kama hakuna majibu ya alichosema ni kazi bure! Nikutakie asubuhi njema!
 
Sasa kwa nini tuhangaike na matendo yake maovu! Ukienda kurina asali huwa hatuhangiki na matendo maovu ya nyuki ya kutuuma sisi tunatizana asali! Hata kwenye hili tusimtizame Ndugai na Undugai wake tutuzame kasema nini?
Tunachotaka ni Ndugai avuliwe u-Spika kwa njia yoyote ile. Over
 
umenena mkuu
 
singida dodoma singida dodoma

Teh teh teh teheheheeeeeeeeeee

Mtu aliyenyimwa haki zake kipindi yupo kwenye shida na huyo huyo wa kanda yake leo anamuona yupo sawa
Lissu amesimama kwenye principles, kwamba hampingi Ndugai kisa tu alimbània haki zake bali anamuunga mkono kwa utaratibu unaopaswa kufuatwa. Naamini litakapokuja suala la ubunge wa akina Mdee au suala la mafao yake, atapingana tu na spika. Kukemea mabaya ya rafiki na kupongeza mazuri ya adui ni principles...... wachache wanaweza
 
Kwa wasomaji wote wa uzi huu:

Kwani siku lilipotokea tukio hili hapa chini, mlipta ujumbe gani kutokana na tukio hilo?

Za kuambiwa, chnanganya na za kwako
 
At least TL anachukua opportunity hii kwa faida ya Upinzani. Sio kama followers wake wanaomwangalia tu Ndugai! Ni maoni yake lakini ni maoni mazito ya kutafakarisha. Kuna jambo!
 
Kama Ndugai angekuwa anajua ingekuja kuwa hivi ilivyo Leo basi asingeenda kwenye kile kikao cha wagogo. Kile kikao kimeleta nuksi kwake. Kimempokonya ulaji wake wote
 
Kama Ndugai angekuwa anajua ingekuja kuwa hivi ilivyo Leo basi asingeenda kwenye kile kikao cha wagogo. Kile kikao kimeleta nuksi kwake. Kimempokonya ulaji wake wote
Hana njaa huyo
 
Umekuja napopataka,mbona kwenye hao covid 19 hakuongea chochote,huyo ni takataka kama takataka nyingine tu
 
Alitumia lugha za
Kimaudhi,
Kichokochoko,
Aliongea kwa jaziba,
Alutumia dharau na dhihaka,
Aliongelea kijiweni wakati mjengo upo.
Alimhusisha Rais kwa kumtaja Mama mikopo huku akijua Mwigulu ndiye mwenye dhamana hiyo.
Ndugai huwa anataka hoja zake zipongezwe hata akikosea.
KINGA ZA MIHIMILI ZIONDOLEWE.
Mimi ni muumini wa ukweli, Job mara nyingi ni mwonevu na mropokaji but this time alikuwa sahihi.
Ametishwa kidogo akainama, ameharib
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…