Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

Mbona kwenye hoja ya Ndugai hajaweka uanauke wa rais
Si lazima aweke, mnafiki ukishamjua tu. Huyu huyu Ndugai ndio alokuwa akilalamikiwa na wananchi wakati wa JPM, ana wabunge wasiokuwa na chama ndani, akiendesha bunge kibabe, leo amekuwa super hero? Siasa z Afrika kituko kitupu
 
Lissu hutetea chote... Ni binadamu mbishi sana...
 
in the first place kwanza yuko wapi huyo JOBO ndio tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…