Si lazima aweke, mnafiki ukishamjua tu. Huyu huyu Ndugai ndio alokuwa akilalamikiwa na wananchi wakati wa JPM, ana wabunge wasiokuwa na chama ndani, akiendesha bunge kibabe, leo amekuwa super hero? Siasa z Afrika kituko kitupuMbona kwenye hoja ya Ndugai hajaweka uanauke wa rais