Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

Maskini umeshaingia hofu. Tayari kazi ya Lissu imeanza kupenya.
 
Nasubiria chorus "tumeibiwa kura" [emoji470][emoji470]
 
Kila jambo lina mwisho. Na huu ndio mwisho wake.
 
Waache waendelee kujifariji. Mwaka 2015 JPM anajua kilichotokea na ndio maana alikuja kwa kasi kubwa sana ya kudhibiti upinzani japo amefeli tena.
 
Vipi ruzuku ya chama chenu itatufikia huku japo kwa kutuelimisha tu umuhimu wa kumchagua LISSU?

Umuhimu si utaelezwa kwenye kampeni na ruzuku si ndiyo inatumika kwenye hizo kampeni sasa ikufikie wewe unashindwa kuitaka serikali iongeze mshahara unataka kula pesa ya ruzuku tena mbona unataka kuturudisha nyuma matumizi ya ruzuku si yanapngwa na vikao halali vya chama kwa kutumia wawakilishi wako
 
Namwangalia Lissu akiwa na kalombati keusi na kakofia ka-kispy . Nacheka sana.
 
Nimekuelewa sana, ila kwasasa Lissu sio mtoto wa nyumbani tena ni mtoto wa Dunia nzima, so mtoto kama huyu kumdhibiti ni ngumu sana, CCM walifanya kosa kubwa sana ambalo linaweza kuingiza nchi kwenye matatizo makubwa, hapakuwa na sababu kuwabana wapinzani wangeachwa tu, wangeongea na kipindi hiki either wangekuwa wanarudia waliyokwisha ongea au watafute mapya ambayo yangekuwa machache.

Kitendo cha kuziba mto Kwa muda mfefu pale unapofungulia kasi yake inakuwa kubwa sana japo ya muda mfupi ila usipojipanga vizuri yanaweza kuja maafa makubwa. TL kwasasa hana cha kuogopa tena, na matokeo yakitangaza atakataa kusain na nakuhakikishia atasumbua sana baada ya uchaguzi na sijui watamfanya nini, wakimfunga itaonekana sio jipya na wanamuonea, kazi ipo.
 

Ukishazoea kusifiwa na kuogopwa akatokea mtu wa kukupinga bila kuogopa utaona anakukosea na kukudhalilisha. Hivi unakumbuka maneno ya kusema atamshangaa sana mkurugenzi atakayemtangaza mpinzani akishinda uchaguzi. Kuna maneno ya hatari zaidi ya hayo kwa taifa linaloongozwa kwa mujibu wa sheria, kama kuna kiongozi anatamka waziwazi kabisa kuwa atamshangaa msimamizi wa uchaguzi kumtangaza mpinzani aliyeshinda uchaguzi ati kwa kuwa huyo kiongozi analipwa mshahara wa wananchi walioamuwa nani awaongoze halafu mtu mwengine ambaye pia analipwa mshahara na wananchi hao hao anajibadilisha na kujifanya yeye ndiye anawalipa wakurugenzi siyo wananchi wanalipa kodi ya huo mshahara.
 

Hakuna linaloshindikana chini ya jua kinachotakiwa ni umakini katika kushughilika naye, maana ukisikiliza uropokaji wake amekamia kwelikweli ikikibidi hata taifa hili lisambaratike.
 

Hii si baada ya wapinzani waliozira uchaguzi wa serikali za mtaa. Sasa utangaza mtu aliyezira.??
 
...Yani bora wangemuachaga tu wamsumbue na makesi na kumuweka ndani kila mara pengine ingesaidia... Yani huyu lissu wa sasa ni nafuu yule wa kabla ya september 7'17.!
Mateso ya jiwe yamempa umaarufu zaidi na zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…