Pre GE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nilitabii tangu 17/12/2024

1- mbowe atachukua form

2- Mbowe atashinda uwenyekiti

3-lissu atotoa tuhuma mbowe katoa rushwa

4- lissu atahamia ACT wazalendo

5-lissu atagombea urais kupitia Act wazalendo 2025

6- lissu ataambulia 8% ya kura manake atashindwa

7-Ataondoka kuelekea Belgium akimtuhumu mbowe anataka kumuangamiza.
 

Tupo hapa utajionea
 

Hibi nyie watoto, mbona mnapenda kujitakia balaa. Ni nani aliye waambia sumu huwa inaonjwa?
 

Umesahau kuweka CDM watapata % ngapi ya kura
 
Nakuambia, maelezo yote Yale zaidi ya masaa mawili, mkutano umechukua nusu siku alafu abwagwe itakuwa aibu kubwa kuwahi kutokea.
Mnajifariji si ndio? Na nyie mpeni airtime huyo kibaraka wenu kwani shida Iko wapi? πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡


Mwisho fukara na siasa wapi na wapi? Atoke Sasa Akaanzishe chama Wafuasi wake si mpo mtachanga πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…