Pre GE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

Pre GE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nilitabii tangu 17/12/2024

1- mbowe atachukua form

2- Mbowe atashinda uwenyekiti

3-lissu atotoa tuhuma mbowe katoa rushwa

4- lissu atahamia ACT wazalendo

5-lissu atagombea urais kupitia Act wazalendo 2025

6- lissu ataambulia 8% ya kura manake atashindwa

7-Ataondoka kuelekea Belgium akimtuhumu mbowe anataka kumuangamiza.
hiyo ya kuamia act ni kosa kubwa sana ...kwa mbowe bora chama kingine siyo act
 
20250103_085515.jpg
 
Back
Top Bottom