Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
We mgeni na siasa za bongo. Anaanzia wapi kushinda?
Ndoto sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mgeni na siasa za bongo. Anaanzia wapi kushinda?
Kwa wajumbe gani mkuu? Hawa hawa waliomsindikiza leo kuchukua fomu? Au kuna wengine?Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe.
Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa Sababu zifuatazo;
1. Kuondoa uchagadema ndani ya CHADEMA.
Wanachadema wengi hasa wanaotoka kanda zingine hata humu ndani hawafurahishwi na propaganda zinazoendelea kuhusu CHADEMA ni uchagadema.
Kumtoa Mbowe pale kutapunguza hayo madai.
2. Kuondoa kumuabudu mtu.
Kiongozi anapokaa Muda mrefu inajengeka Hali ya kumuogopa, kumuabudu, na yeye kukita mizizi.
Kwa sasa Hapana Shaka Mbowe ni kama mungu mtu hapo CHADEMA. Umungu mtu hutengeneza machawa na worship teams.
3. Wanachadema wengi hawataki kudai HAKI kwa kubembelezana.
Mbowe yeye hupenda kudai HAKI kwa njia ya kumlambalamba mtu miguu. Kumnyenyekea, mazungumzo na njia zote ambazo ni passive.
Kama mjuavyo Njia passive haziletagi matokeo ya haraka. Huweza kuchukua Miaka hata Mia moja. Tofauti na njia active.
CHADEMA wengi wanaamini kwa njia active ambazo Lisu naye huamini hivyo.
Kama CHADEMA ingetumia Njia active kwa kumaanisha Leo hii tungekuwa tunazungumzia habari nyingine hapa. Kariba mpya ingekuwa tayari, hayo mambo ya tume Huru ya uchaguzi yangekuwa mambo madogomadogo kuyashughulikia.
4. Kushindwa kwa Lisu ni kuanguka kwa CHADEMA.
Hilo liko wazi. Wengi wataleta ulinganifu wa sijui wakina Zitto, kina Slaa n.k.
Lakini Lisu lazima ashinde ili CHADEMA iwe hai.
Kwa sasa pale CHADEMA mtu pekee mwenye nafasi ya juu ambaye watu wanaomuona ni mpinzani wa kweli. Yaani anayemaanisha ni Lisu.
Lisu kushindwa ni upinzani kushindwa.
Matokeo ya uchaguzi yataisha Lisu Akiwa mbele kwa 53% Mbowe 46%
Tupumzike
Mkuu imani yako ,ipo deep sana ,naungana na weweSabato Njema Wakuu!

Kama anataka uwenyekiti 2029 atapata hiyo chance bila shida. Ila sio kwa style aliyokuja nayo, licha ya kwamba ni haki yake kimsingiNdoto sio
Lussu hawezi kupata 15% labda mdude na yule Askofu wa mchongo wapige kura mara 500.Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe.
Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa Sababu zifuatazo;
1. Kuondoa uchagadema ndani ya CHADEMA.
Wanachadema wengi hasa wanaotoka kanda zingine hata humu ndani hawafurahishwi na propaganda zinazoendelea kuhusu CHADEMA ni uchagadema.
Kumtoa Mbowe pale kutapunguza hayo madai.
2. Kuondoa kumuabudu mtu.
Kiongozi anapokaa Muda mrefu inajengeka Hali ya kumuogopa, kumuabudu, na yeye kukita mizizi.
Kwa sasa Hapana Shaka Mbowe ni kama mungu mtu hapo CHADEMA. Umungu mtu hutengeneza machawa na worship teams.
3. Wanachadema wengi hawataki kudai HAKI kwa kubembelezana.
Mbowe yeye hupenda kudai HAKI kwa njia ya kumlambalamba mtu miguu. Kumnyenyekea, mazungumzo na njia zote ambazo ni passive.
Kama mjuavyo Njia passive haziletagi matokeo ya haraka. Huweza kuchukua Miaka hata Mia moja. Tofauti na njia active.
CHADEMA wengi wanaamini kwa njia active ambazo Lisu naye huamini hivyo.
Kama CHADEMA ingetumia Njia active kwa kumaanisha Leo hii tungekuwa tunazungumzia habari nyingine hapa. Kariba mpya ingekuwa tayari, hayo mambo ya tume Huru ya uchaguzi yangekuwa mambo madogomadogo kuyashughulikia.
4. Kushindwa kwa Lisu ni kuanguka kwa CHADEMA.
Hilo liko wazi. Wengi wataleta ulinganifu wa sijui wakina Zitto, kina Slaa n.k.
Lakini Lisu lazima ashinde ili CHADEMA iwe hai.
Kwa sasa pale CHADEMA mtu pekee mwenye nafasi ya juu ambaye watu wanaomuona ni mpinzani wa kweli. Yaani anayemaanisha ni Lisu.
Lisu kushindwa ni upinzani kushindwa.
Matokeo ya uchaguzi yataisha Lisu Akiwa mbele kwa 53% Mbowe 46%
Tupumzike
Lissu hawezi kwenda ACT maana anaijua ni Ccm B kama atafanyiwa mizengwe ataamua tu kuachana na siasa na kutumikia taaluma yake au anaweza kuamua kuishi nje ya nchi.nilitabii tangu 17/12/2024
1- mbowe atachukua form
2- Mbowe atashinda uwenyekiti
3-lissu atotoa tuhuma mbowe katoa rushwa
4- lissu atahamia ACT wazalendo
5-lissu atagombea urais kupitia Act wazalendo 2025
6- lissu ataambulia 8% ya kura manake atashindwa
7-Ataondoka kuelekea Belgium akimtuhumu mbowe anataka kumuangamiza.
Lissu hafiki popote. Niko pale Kimara Kibo niite mbwaSabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe.
Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa Sababu zifuatazo;
1. Kuondoa uchagadema ndani ya CHADEMA.
Wanachadema wengi hasa wanaotoka kanda zingine hata humu ndani hawafurahishwi na propaganda zinazoendelea kuhusu CHADEMA ni uchagadema.
Kumtoa Mbowe pale kutapunguza hayo madai.
2. Kuondoa kumuabudu mtu.
Kiongozi anapokaa Muda mrefu inajengeka Hali ya kumuogopa, kumuabudu, na yeye kukita mizizi.
Kwa sasa Hapana Shaka Mbowe ni kama mungu mtu hapo CHADEMA. Umungu mtu hutengeneza machawa na worship teams.
3. Wanachadema wengi hawataki kudai HAKI kwa kubembelezana.
Mbowe yeye hupenda kudai HAKI kwa njia ya kumlambalamba mtu miguu. Kumnyenyekea, mazungumzo na njia zote ambazo ni passive.
Kama mjuavyo Njia passive haziletagi matokeo ya haraka. Huweza kuchukua Miaka hata Mia moja. Tofauti na njia active.
CHADEMA wengi wanaamini kwa njia active ambazo Lisu naye huamini hivyo.
Kama CHADEMA ingetumia Njia active kwa kumaanisha Leo hii tungekuwa tunazungumzia habari nyingine hapa. Kariba mpya ingekuwa tayari, hayo mambo ya tume Huru ya uchaguzi yangekuwa mambo madogomadogo kuyashughulikia.
4. Kushindwa kwa Lisu ni kuanguka kwa CHADEMA.
Hilo liko wazi. Wengi wataleta ulinganifu wa sijui wakina Zitto, kina Slaa n.k.
Lakini Lisu lazima ashinde ili CHADEMA iwe hai.
Kwa sasa pale CHADEMA mtu pekee mwenye nafasi ya juu ambaye watu wanaomuona ni mpinzani wa kweli. Yaani anayemaanisha ni Lisu.
Lisu kushindwa ni upinzani kushindwa.
Matokeo ya uchaguzi yataisha Lisu Akiwa mbele kwa 53% Mbowe 46%
Tupumzike
Mkondo upi? Utoke Ikungi ukanyan'anye mtoto wa Mjini ulaji wake??Tuache Demokrasia ichukue mkondo wake
Chadema ni Mbowe na Mbowe ni Chadema.Sabato Njema Wakuu!

Chadema ni Mbowe na Mbowe ni Chadema.