Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Kabisa duniani hakuna msafi ila watu wanachagua dhambi kama umeamua kutetea watu tetea wote tuone kweli wee mtu wa haki
Mie huko kwenye dhambi wala sipo, couz siamini ktk muktadha wa dhambi.
Ninachokisema ni kuwa mtu mzima aliyeamua kifanya kitu kwa matakwa yake binafsi, nini iwe shida kwa mwingine?
 
Kuna mengine anapatia na kuna mengine anakosea hata wewe una makosa umefanya na unafanya mpaka hii Leo
 
Weka humu 🚮
 
Dudu baya anazuia ili ushoga usisambae na baadae watoto wako wasijiingize kwenye ushoga.
Usijudge kwa mtindo huo eti kwa vile wale mashoga sio ndugu zako ndio uchukulie haikuhusu hili ni janga la taifa zima.
 
Kwanini huwa mnawaza mambo yaliyo nje ya uwezo wenu?

Ushajiuliza wale vijana wa pale COET Udsm tangu kuanzishwa kwa ile College wamewahi kugundua kitu cha maana hapa Tanzania ambacho Udsm wanaweza kujivunia?
 
Mazuzu wengi sana kazi kweli
Wewe ***** toa harufu ya tope hapa,nenda kwenye nyuzi ukapiganie unachoona kwako ni sahihi,na wengine waache wapiganie wanachoona kwao ni sahihi,

Wewe ni nani hasa mpaka uwapangie watu maisha? Wewe ni nani hasa mpaka uwapangie watu wafuatilie nini na nini wasifuatilie?

Nenda kampangie mumeo,achana na sisi.

Y B W Y B
 
Wanaelewa sasa? Wao wanachojua kubwata mtandaoni ndio kusolve jambo, ajabu iliyoje.
 
Dudu baya anazuia ili ushoga usisambae na baadae watoto wako wasijiingize kwenye ushoga.
Usijudge kwa mtindo huo eti kwa vile wale mashoga sio ndugu zako ndio uchukulie haikuhusu hili ni janga la taifa zima.
Watajua wenyewe dunia ni uwanja wa vita ukiwa legelege yatakukuta mengi inatakiwa uishi kwa akili sana hivi ushakuwa mwanaume halafu unakuwa shoga huoni kama utakuwa na matatizo ya akili sasa mtu kama huyu mie siwezi kupoteza nguvu zangu kufatilia
 
Dudu baya movement yake ni muhimu kuliko siasa za maigizo za Chadema na Ccm
 
Reactions: Nus
Dudu baya anazuia ili ushoga usisambae na baadae watoto wako wasijiingize kwenye ushoga.
Usijudge kwa mtindo huo eti kwa vile wale mashoga sio ndugu zako ndio uchukulie haikuhusu hili ni janga la taifa zima.
Kwani hakemei utekaji? Uuaji? Ufisadi? Rushwa? Au haya sio majanga ya Taifa zima?
 
matatizo ya akili ni Janga la taifa
 
Kwani hakemei utekaji? Uuaji? Ufisadi? Rushwa? Au haya sio majanga ya Taifa zima?
Kwanini kuna kanuni inayolazimisha watu wote kukemea masuala fulani na kutokemea mengine?
Au kwa mfano Dudubaya akikemea mashoga, wewe ukakemea ubakaji, ulawiti na utekaji kuna ubaya?
 
Kwa sababu vichwani wamebeba mavimavi.

Ushoga ni kosa lakini sio tishio na haijawahi kuw tishio duniani tangu dunia imeumbwa.
Ni dhambi chafu. Lakini sio changamoto
Don't say that, kuna msemo siku hizi unasemwa sana, "kichaa anachekesha kama sio ndugu yako" na misemo mingine inayofanana na hiyo.

Nini nataka kusema, kila harakati ina umuhimu wake kwa wakati wake. Whether it's staged by the government or not (kwa sababu tunawajua viongozi wetu), bado haiondoi ukweli kwamba taifa bora linaje.gwa na jamii iliyo imara, familia imara.

So, to cut the story short, Dudu Baya na Lissu wote wanapambania mambo yanayohitaji attention ya jamii, nimesema iwe wamekuwa staged au wapo intent kwa wanachokifanya.
 
Haina ubaya Dr manyau nyau.
😂😂😂

Sahihi mkuu Mimi kama dr manyau nyau nipo na Dudu baya


Dudu baya yupo anafanya movement really wakati huo huo wanasiasa wanafanya fake movement

Watanzania watu mnaamini ni wajinga hapana they know who is really and who is fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…