Lissu anasema Rais Samia amebadilisha upepo wa kisiasa

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani

1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.

Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.

View attachment 2512583

..huo ni mwanzo.

..hitimisho linatakiwa kuwa mambo matatu.

1. Katiba Mpya na Bora.

2. Tume Huru ya Uchaguzi.

3. Tume ya Ukweli Haki na Maridhiano.
 
Kweli Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko makubwa kila sekta hasa upande huu wa siasa ameupiga mwingi sana sasa wapinzani hawana wasiwasi wowote
Waendelee hivyo hivyo kumsifia huku wakila asali. Siku wakianza kuongea hoja ndio itakuwa mwisho wa urafiki na huyo mama.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani

1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.

Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.

View attachment 2512583
Hongera Samia. Uongozi ni akili, busara na karama. Wala siyo maguvu na matusi kama Magufuli alivyokuwa anaharibu nchi
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani

1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.

Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.

View attachment 2512583
Nonsense
 
Hakuna namna rais Samia angeweza kuacha kubadilosha upepo wa kisiasa kwa kuamua kufanya maridhiano, kuunda katiba mpya na kuunda tume huru ya uchaguzi.

Hii ni kwasabb dikteta amewatesa sana Watanzqnia na hata wanasisiemu wenzake kwa kutumia katiba hii mbovu. Wanaccm pia hawataki ujirudie Udikteta wa dikteata Mungu wa sukuma gang
 
Wakizembea wakidhani Katiba Mpya itamsaidia Mpinzani kitawakuta kilichowakuta very soon.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani

1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4. Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
5. Amefuta kesi nyingi zikiwemo za kwangu mimi.

Huu ni uthibitisho kuwa Rais Samia Suluhu amefanikiwa katika mpango wake wa kujenga Tanzania mpya.

View attachment 2512583
Halafu yeye Tundu Lissu akiingia atakuja badilisha upepo huo.
Atatufanya tukubali Tamaduni na maadili za "Waliotudhalimu" kwa karne....'Wazungu'

Tujiandae na Udikteta uchwara wa Lidikteta Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom