UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Nchi aliiharibu Kikwete na ndio maana wakajikuta wanampa nchi Magufuli ambaye hakuwa na nguvu yeyote kwenye chama kuweza kupata nafasi ile. Ilifika muda hii nchi wakati wa Kikwete watu walitamani Rais Dikteta kwa jinsi nchi ilivyoharibiwa na kuwa shamba la bibi.Hongera Samia. Uongozi ni akili, busara na karama. Wala siyo maguvu na matusi kama Magufuli alivyokuwa anaharibu nchi